Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Raisi na viongozi wenine wa juu ni waajiriwa serikalini kama waajiriwa wengine, wanalipwa mishahara kwa kufuata sheria na katiba ya nchi. Haiwezekani raisi akalipwa 200,000 tena kwa mwaka akati kima cha chini ni 300,000 kwa mwezi.

Hawa mabwana wanapata pesa nyingi za marupurupu katika safari, vikao na mambo kama hayo kama ilivyo kwa mtu yeyote yule serikalini kwamba anapata pesa safarini na vikaoni ila viwango vinatofautiana kutokana na cheo.
 
Raisi na viongozi wenine wa juu ni waajiriwa serikalini kama waajiriwa wengine, wanalipwa mishahara kwa kufuata sheria na katiba ya nchi. Haiwezekani raisi akalipwa 200,000 tena kwa mwaka akati kima cha chini ni 300,000 kwa mwezi. Hawa mabwana wanapata pesa nyingi za marupurupu katika safari, vikao na mambo kama hayo kama ilivyo kwa mtu yeyote yule serikalini kwamba anapata pesa safarini na vikaoni ila viwango vinatofautiana kutokana na cheo.

Sasa raisi analipwa mshahara shilingi ngapi kwa mwezi?
 
mmmmmmm

toka 2007 hadi 2012 leo jawabu hatujapata!"""''''

JANUARY MAKAMBA anajuwa huyu....... mtafuten plzzzzzzzxz!!!!!""""
 
Sasa raisi analipwa mshahara shilingi ngapi kwa mwezi?

Hamna aliyetayari kuweka wazi mshahara wake Tz, raisi analipwa kati ya 300,000 hadi 2,000,000 kwa mwezi coz hivyo ndo katiba inavyotaka alipwe ila anatengeneza pesa zaidi ya hapo kwa mwezi tokana na sababu nilizosema hapo juu.
 
Umejuaje kama rais analipwa "kati ya 300,000 hadi 2,000,000 kwa mwezi"?
 
Umejuaje kama rais analipwa "kati ya 300,000 hadi 2,000,000 kwa mwezi"?

Mkuu katiba na sheria ya nchi ndivyo inavyosema hamna mtu aliye juu ya katiba, pesa anayolipwa ni fupi ila hela anayomake kwa mwezi ni ndefu.

Tofautisha mshahara na pesa mtu anayotengeneza kwa mwezi, pesa anayotengeneza ni ndefu coz inajumlisha mshahara, allowances na vitu kibao yule jamaa akisafiri analipwa na unajua kasafiri mara ngapi akienda kwenye mikutano analipwa ila hizo hazijumlishwi kwa mshahara.
 
Mkuu katiba na sheria ya nchi ndivyo inavyosema hamna mtu aliye juu ya katiba, pesa anayolipwa ni fupi ila hela anayomake kwa mwezi ni ndefu. Tofautisha mshahara na pesa mtu anayotengeneza kwa mwezi, pesa anayotengeneza ni ndefu coz inajumlisha mshahara, allowances na vitu kibao yule jamaa akisafiri analipwa na unajua kasafiri mara ngapi akienda kwenye mikutano analipwa ila hizo hazijumlishwi kwa mshahara.

Mambo ya pesa fupi na hela ndefu siyataki mimi. Nataka kujua mshahara wake kwa mwezi ni shilingi ngapi? Unajua ama hujui?
 
I WANT TO KNOW ..everybody wants to know, iwant to know yet nobody knows ...who is getting what ..jimmy cliff
 
Raisi na viongozi wenine wa juu ni waajiriwa serikalini kama waajiriwa wengine, wanalipwa mishahara kwa kufuata sheria na katiba ya nchi. Haiwezekani raisi akalipwa 200,000 tena kwa mwaka akati kima cha chini ni 300,000 kwa mwezi. Hawa mabwana wanapata pesa nyingi za marupurupu katika safari, vikao na mambo kama hayo kama ilivyo kwa mtu yeyote yule serikalini kwamba anapata pesa safarini na vikaoni ila viwango vinatofautiana kutokana na cheo.

Mkuu tofautisha kati ya $ 200, 000 na 200, 000 !
 
Salva naje hajui?mpaka leo jibu bado..sasa tuwaulize wale wote wanaotaka kugombea Urais..je wanajua mshahara wa sasa
 
Jamani mnapenda kuweka mishahara ya wengine hadharani na kuwa inatosha. Je mshahara rais,mawaziri,majaji,ni sh ngapi? Maana kwao utawasikia KASUNGURA kadogo.

Jamani nao wataje yao maana ni kodi zetu nasisi wananchi ndio waajiri wao. Sasa hapa dhana ya uwazi iko wapi?
 
Hii mada ina zaidi ya miaka 5 sasa na hakuna mtu anayejua mshahara wa rais ni kiasi gani!!
 
Hii mada ina zaidi ya miaka 5 sasa na hakuna mtu anayejua mshahara wa rais ni kiasi gani!!
Nyani,
Once upon a time mshahara wa rais wa Tanzania haukuwa siri. Umeanza kufanywa siri enzi za Mkapa kwa sababu hawa walianza kuwa wezi na hawakutaka Watanzania wajue jinsi wanavyoibiwa.

Lakini tutajua tu. Enzi za Mwalimu 1966 mshahara wale ulikuwa shilingi elfu sita kwa mwezi. Katika yale maandamano ya wanafunzi kupinga national service akaupunguza kwa asilimia 20.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyani,
Once upon a time mshahara wa rais wa Tanzania haukuwa siri. Umeanza kufanywa siri enzi za Mkapa kwa sababu hawa walianza kuwa wezi na hawakutaka Watanzania wajue jinsi wanavyoibiwa. Lakini tutajua tu. Enzi za Mwalimu 1966 mshahara wale ulikuwa shilingi elfu sita kwa mwezi. Katika yale maandamano ya wanafunzi kupinga national service akaupunguza kwa asilimia 20.

Hili la mshahara wa Rais, Mawaziri na Vingunge wengine wote wa Serikali lazima kwenye katiba mpya liwekwe bayana kwamba halistahili kabisa kufanywa siri.
 
Duh hakuna ane jua mshahara wa JK? yaweza kuwa siri na why?
 
hivi mnahisi kunamtu anaweza sema waongee ili tuwapige maneno mshahara mkubwa na wanatanzania tunashida nyingi sana, amna atakayekua tayari kuongea ukweli!
 
Back
Top Bottom