Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Raisi na viongozi wenine wa juu ni waajiriwa serikalini kama waajiriwa wengine, wanalipwa mishahara kwa kufuata sheria na katiba ya nchi. Haiwezekani raisi akalipwa 200,000 tena kwa mwaka akati kima cha chini ni 300,000 kwa mwezi.
Hawa mabwana wanapata pesa nyingi za marupurupu katika safari, vikao na mambo kama hayo kama ilivyo kwa mtu yeyote yule serikalini kwamba anapata pesa safarini na vikaoni ila viwango vinatofautiana kutokana na cheo.