Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Ni mumeo kwani?Kichuya jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mumeo kwani?Kichuya jaman
Basi inatosha nadhani mtoa mada ameshaelewa kuwa kuna kosa amelifanya na kama wadau wa michezo tumemsamehe.
Kichuyaaaaaaa!!!!Hii ndio wage bill ya Klabu ya Simba SC kwa msimu 2017/18. Takriban milioni 100 kila mwezi kutumika kulipa mishahara tu.
Kiungo wa zamani wa mabingwa wa kihistoria Dar es Salaam Young Africans SC aongoza.
View attachment 565300
Subiri wasaini mikataba mapya hawa akina bocco,Niyo wamesaini juzi tuWote Kichuya, Mzamiru na Mo wanastahili above 3.5
Mkuu acha jazbahuu ndio ujinga wa soka la tanzania. wachezaji wazawa ndo wanapata vijicent tu. maproo uchwara ndo wanapeta. kweli kichuya alipwe kale kahela? haipendezi
Hujui usemalo! Lkn wakati mwingne ficha upumbavu wako.Hawa simba ni wapuuzi sana, sijui wanesoma WAP management unawachezesha VIP wachezaj kwenye team Moja huku mmoja analipwa million nane na nwingine moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa jibu zuriMbona unatokwa na povu hivyo? Kama ni siri huyo demigod amezitoa wapi na wakati unasema yeye ni mnazi wa yanga? Acha kulalama wafuate viongozi wa simba waulize wao kwann wameexpose taarifa za mishahara ya wachezaji wa simba, halafu usiwe kama mke mwenza kila anafanyiwa mke mwenzio nawewe ufanyiwe