Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

huu ndio ujinga wa soka la tanzania. wachezaji wazawa ndo wanapata vijicent tu. maproo uchwara ndo wanapeta. kweli kichuya alipwe kale kahela? haipendezi
Mkuu acha jazba

Hawa akina Bocco,Niyo wamesajiliwa juzi so obvious mishahara itakuwa mikubwa

Akina kichuya hio walisaini kitambo subiri wa renew mishahara itapanda
 
Mbona unatokwa na povu hivyo? Kama ni siri huyo demigod amezitoa wapi na wakati unasema yeye ni mnazi wa yanga? Acha kulalama wafuate viongozi wa simba waulize wao kwann wameexpose taarifa za mishahara ya wachezaji wa simba, halafu usiwe kama mke mwenza kila anafanyiwa mke mwenzio nawewe ufanyiwe
Asante kwa jibu zuri
 
Back
Top Bottom