kama wewe ni mwalimu mpya tunaomba radhi. System zetu zimeharibika. Tumeagiza system mpya south africa. Nahisi ndani ya wiki mbili kuanzia leo 29april wale ajira mpya watakuwa tayari kupata mishahara yao.
vipi kuhusu hizi tetesi za mzigo kuwa upgraded....umeona mabadiliko kwenye mpunga wako?
Si ndo hapo sasa, mtu utachaje kuulizia haki yako....Wewe umevurugwa sana....mshahara sio privilege
Si ndo hapo sasa, mtu utachaje kuulizia haki yako....
hata kama nina milioni mfukoni nikiona sh mia naokota....
ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!! Ujue nimetoka kuchabo sa hivi!!
Mhhh hivi nawewe ni mwalimu?
Watanzania tujifunze kuwekeza cyo kutegemea mshahara pekee ! Kuna mambo tunayafanyia kazi kwenye mfumo wa ulipaji mishahara hivyo vuteni subra kidogo! Kufikia jumatano mambo yatakua sawa
Ndio, mwalimu wa sayansi kimu na needle work....
Kama hujui 90% ya JF members ni WALIMU.Mhhh hivi nawewe ni mwalimu?
Kama hujui 90% ya JF members ni WALIMU.
Sio walimu tu hata sie wa kada zingine bado. Ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba utaratibu wa mishahara umebadilika na kwa utaratibu mpya kwa jinsi nilizosikia ni kwamba mishahara itakuwa inalipwa kutoka hazina kwenda bank account za watumishi moja kwa moja.
Twende kule chini basi

Na biology nafundisha....Hilo nalijua fika ila kwa huyo nlomuuliza nilikuwa na maana kubwa kumuuliza
Na biology nafundisha....