Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

Juzi mangi akanivimbia..
 
Hapana 2.7..
ni TGHS H japo.kuna wengine Ni TGHS G ndo 2.27..
Ila wemgi kama Paed na Intermal wanaanzia H ambayo ni TGHS H..

Japo kwa "Fellowship Specialist" ni Fixed ya 3.5 ambayo Ni TGHIS I
TGHS-H ni hospitali za aina gani? Au mashirika ya umma? Maana waraka unaonyesha kila specialist ni TGHS G
 
TGHS-H ni hospitali za aina gani? Au mashirika ya umma? Maana waraka unaonyesha kila specialist ni TGHS G
Unafahamu Specialist wapo kwenye Categories ngapi??
Sio kila specialist ana chukua G..

Nakubaliana na wwe kuhusu waraka na Hata mimi ninao waraka wa mwaka 2009 wa Muundo wa Utumishi wa Afya..
Ila..

Kuna Specialist ambaye tunamuita Junior specialist Ambaye anaingia kwenye Specialist Bila kuwa Na Published study yoyote yaani ndo ametoka shule huyo ndo anachukua TGHS G..
Na ndo anaitwa Daktari Bingwa Daraja la II..

Lakini ma Specialist walio wengi wamepublish Angalau Studies Kuanzia Tatu (Nina ushahidi wa Hilo) labda kama ndo anaingia Kazini Miaka miwili ilopita au Mmoja..

Ila kama kapublish studies na ana miaka zaidi ya Miwili kazini Wengi wanacheza Kwenye TGHS H..

Tukiacha Hapo Kuna Madakatri bingwa ambao Ni fellowship Doctors..
Au wangekuwa Kwenye Fani zingine Tungsema Wana PhD..

Wote wanaanzia Kwenye TGHS I...

I Am a Fellowship Na nachokuambia Nimekipitia Mkuu Trust me
 
Sawa kabisa, mimi nilikuwa namaanisha daktari bingwa daraja la pili, anayechukua G, so fellowship unamaanisha daktari bingwa wa juu bobezi (Superspecialist)?
 
Yani serikali ni kandamizi sana,watu wamejaza taarifa muhimu na kila kitu wana haki ya kupanda madaraja/vyeo mwezi June but imepiga chini na hakuna taarifa zozote.
 
Imeshapitiwa na Bodi ya Mishahara, ni mkikubwa kulinganisha na sekta binafsi wakati utendaji ni chini ya 60%, walipaswa kupunguziwa mishahara.
Madhara ya kuendelea kuishi kwa shemeji huku umri umeenda ndo haya mtu anayenunuliwa mpaka boxer hawezi ona pitchi ya maisha ndoo maana ana post uharo kama huu.
 
Madhara ya kuendelea kuishi kwa shemeji huku umri umeenda ndo haya mtu anayenunuliwa mpaka boxer hawezi ona pitchi ya maisha ndoo maana ana post uharo kama huu.
Nina mshahara wa serikali, ninasomesha na kuendelea kusaidia watu.
Mishahara itolewe kutokana na matokeo ya kazi.
 
Sawa kabisa, mimi nilikuwa namaanisha daktari bingwa daraja la pili, anayechukua G, so fellowship unamaanisha daktari bingwa wa juu bobezi (Superspecialist)?
Yeah Supersoeciallist.. Japo Jina limekaa Kisiasa Sana maana Hakuna Aliyesuper zaidi ya Mwenzake lets Just Call Fellowship Specialist (Mimi napenda Kuita Hivi)..

Siku hizi wanaita Daktari Bingwa Mbobezi
 
Mbona wafanyabiashara mfano wa kusafirisha mbona wanaiongea nauli inaongezeka ,umeongea kwa kutumia @$#&+-®©©®®}§×§π√÷
Ukishakuwa mtu wa kusubiri mshahara inabidi usiwe na tamaa...tafuta biashara uwekeze tofauti na hapo utalialia sana
 
Yeah Supersoeciallist.. Japo Jina limekaa Kisiasa Sana maana Hakuna Aliyesuper zaidi ya Mwenzake lets Just Call Fellowship Specialist (Mimi napenda Kuita Hivi)..

Siku hizi wanaita Daktari Bingwa Mbobezi
Ahaa sawa
 
Mshara unapanda karibu kila mwaka, haitangaZwi ili wafanya biashara wasipandishe bidhaa.
Wafanyakazi wa serikali wana marupurupu, wana nyumba, wana likizo zinalipwa, wana simu za bure na vocha bado hawaridhiki.
like sinple you said haa? hayo si only kwa wakuu wa idara tu.
 
Rushwa ndio kipimo cha maisha, achana na mishahara.

TRA,TPA, BOT, wabunge wao huwa hawalalamiki kiivyo, kwasababu rushwa zinamaliza matatizo mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…