DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Bingwa anaanza na 2.5 MilPesq nyingi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bingwa anaanza na 2.5 MilPesq nyingi tu
Bingwa anaanza na 2.5Tuambie mtaalamu, mshahara wa Specialist ni kiasi gani?
Ni 2.3m, ukiondoa Makato inabaki one point something.Bingwa anaanza na 2.5 Mil
Juzi mangi akanivimbia..Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8.
Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na laki 2, 3. Ukiangalia salary slip ya mtumishi wa umma wa sasa unaweza usiamini hayo makato yaliyomo humo ndani.
Utumishi wa umma wa sasa si kama wa zamani. Zamani watumishi wa umma ndiyo walikuwa wanaonekana wana chochote kitu mtaani. Ila kwa sasa watumishi wa umma ndiyo wamegeuka wasio na chochote mitaani. Wengi wanaishi kwa msaada wa mkopo wa mangi.
Mtumishi wa umma wa sasa anashindwa pesa hadi na boda boda. Kama boda boda anaingiza mkwanja mrefu zaidi kumshinda mtumishi wa umma tunategemea nini kama nchi? Thamani ya utumishi wa umma inabidi ilindwe.
Kama hadhi ya utumishi wa umma haitalindwa, basi tusitegemee watumishi wa umma ku-deliver vile inavyotakiwa, na kwa sababu ya mishahara kiduchu tutegemee hizo ripoti za CAG zikiendelea kuwa chafu kwa ubadhirifu wa pesa za miradi.
Pamoja na mishahara kiduchu ila serikali ikaona iwawekee na kikokotoo kiduchu kwenye kiinua mgongo. Yani ni full mateso.
Kingine kinachotia hasira ni kwamba wanasiasa wao wamejiwekea mishahara minono, na marupurupu lukuki. Na wakistaafu wanachukua viinua mgongo vyao kama vilivyo tena on time.
Hapana 2.7..Ni 2.3m, ukiondoa Makato inabaki one point something.
TGHS-H ni hospitali za aina gani? Au mashirika ya umma? Maana waraka unaonyesha kila specialist ni TGHS GHapana 2.7..
ni TGHS H japo.kuna wengine Ni TGHS G ndo 2.27..
Ila wemgi kama Paed na Intermal wanaanzia H ambayo ni TGHS H..
Japo kwa "Fellowship Specialist" ni Fixed ya 3.5 ambayo Ni TGHIS I
Unafahamu Specialist wapo kwenye Categories ngapi??TGHS-H ni hospitali za aina gani? Au mashirika ya umma? Maana waraka unaonyesha kila specialist ni TGHS G
Sawa kabisa, mimi nilikuwa namaanisha daktari bingwa daraja la pili, anayechukua G, so fellowship unamaanisha daktari bingwa wa juu bobezi (Superspecialist)?Unafahamu Specialist wapo kwenye Categories ngapi??
Sio kila specialist ana chukua G..
Nakubaliana na wwe kuhusu waraka na Hata mimi ninao waraka wa mwaka 2009 wa Muundo wa Utumishi wa Afya..
Ila..
Kuna Specialist ambaye tunamuita Junior specialist Ambaye anaingia kwenye Specialist Bila kuwa Na Published study yoyote yaani ndo ametoka shule huyo ndo anachukua TGHS G..
Na ndo anaitwa Daktari Bingwa Daraja la II..
Lakini ma Specialist walio wengi wamepublish Angalau Studies Kuanzia Tatu (Nina ushahidi wa Hilo) labda kama ndo anaingia Kazini Miaka miwili ilopita au Mmoja..
Ila kama kapublish studies na ana miaka zaidi ya Miwili kazini Wengi wanacheza Kwenye TGHS H..
Tukiacha Hapo Kuna Madakatri bingwa ambao Ni fellowship Doctors..
Au wangekuwa Kwenye Fani zingine Tungsema Wana PhD..
Wote wanaanzia Kwenye TGHS I...
I Am a Fellowship Na nachokuambia Nimekipitia Mkuu Trust me
Madhara ya kuendelea kuishi kwa shemeji huku umri umeenda ndo haya mtu anayenunuliwa mpaka boxer hawezi ona pitchi ya maisha ndoo maana ana post uharo kama huu.Imeshapitiwa na Bodi ya Mishahara, ni mkikubwa kulinganisha na sekta binafsi wakati utendaji ni chini ya 60%, walipaswa kupunguziwa mishahara.
Nina mshahara wa serikali, ninasomesha na kuendelea kusaidia watu.Madhara ya kuendelea kuishi kwa shemeji huku umri umeenda ndo haya mtu anayenunuliwa mpaka boxer hawezi ona pitchi ya maisha ndoo maana ana post uharo kama huu.
Yeah Supersoeciallist.. Japo Jina limekaa Kisiasa Sana maana Hakuna Aliyesuper zaidi ya Mwenzake lets Just Call Fellowship Specialist (Mimi napenda Kuita Hivi)..Sawa kabisa, mimi nilikuwa namaanisha daktari bingwa daraja la pili, anayechukua G, so fellowship unamaanisha daktari bingwa wa juu bobezi (Superspecialist)?
Mbona wafanyabiashara mfano wa kusafirisha mbona wanaiongea nauli inaongezeka ,umeongea kwa kutumia @$#&+-®©©®®}§×§π√÷Fanya kazi acha kulialia...ukipata mshahara tafuta chanzo kingine cha mapato, ukiona huwezi acha kazi
Ukishakuwa mtu wa kusubiri mshahara inabidi usiwe na tamaa...tafuta biashara uwekeze tofauti na hapo utalialia sanaMbona wafanyabiashara mfano wa kusafirisha mbona wanaiongea nauli inaongezeka ,umeongea kwa kutumia @$#&+-®©©®®}§×§π√÷
Ahaa sawaYeah Supersoeciallist.. Japo Jina limekaa Kisiasa Sana maana Hakuna Aliyesuper zaidi ya Mwenzake lets Just Call Fellowship Specialist (Mimi napenda Kuita Hivi)..
Siku hizi wanaita Daktari Bingwa Mbobezi
like sinple you said haa? hayo si only kwa wakuu wa idara tu.Mshara unapanda karibu kila mwaka, haitangaZwi ili wafanya biashara wasipandishe bidhaa.
Wafanyakazi wa serikali wana marupurupu, wana nyumba, wana likizo zinalipwa, wana simu za bure na vocha bado hawaridhiki.