#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Hakuna mwenye uwezo wa kujibu haya maswali hapa ndio maana Jana niliamua kuwapuuza
Kwani mna wasi wasi juu ya mnacho amini?! Hata mkijibiwa itawasaidia nini?
 
Kwani waumini wake wote wamekufa?
Kwani mimi nimesema wamekufa wote?

Hata akifa mmoja tu, swali langu liko pale pale.

Mungu kashindwa kumlinda huyo mmoja?

Hujajibu swali.
 
Allah kawaandalia waumini makaazi ya amani na utulivu,dunia sio upeo wa mwisho wa muumini, na daima muumini anaifahamu dunia nikama kivuli kina kuja na kuondoka. Muumini anaishi duniani kama msafiri tu, anajua muda wowote ataondoka, ikiwa kwa Corona ama sababu nyengine. " Kila nafsi itaonja mauti" muumini lazima atakufa bali hata asie muumini atakufa. You will die brother, both me and you.
Kwani Allah alishindwa kuwaandalia waamini makazi ya amani na utulivu bila kuachia dunia ijae maafa mengi yasiyo idadi pamoja na Covid-19?

Mungu kashindwa kufanya muujiza tu Coronavirus isiweze kuingia wala kusambazwa msikitini?

Allah kashindwa kufanya hata hivyo virusi visiweze kuingia na kusambazwa msikitini?

Hujajibu swali hili.
 
Kwani Allah alishindwa kuwaandalia waamini makazi ya amani na utulivu bila kuijaza dunia maafa mengi yasiyo idadi pamoja na Covid-19?

Allah kashindwa kufanya hata hivyo virusi visiweze kuingia na kusambazwa msikitini?

Hujajibu swali hili.
Allah kaweka utaratibu wa kuja duniani na kuondoka, pia amewaweka wanaadamu hapa duniani kwa ajili ya kuwajaribu, hivo basi, magonjwa mbalimbali yanayowapata, ajali, kupoteza maisha na mali haya ndio majaribio anayo wajaribu waumini na wasio waumini. Anatazama nani atafaulu. Vipi umetoshelezeka na majibu au unahitaji maelezo zaidi?
 
Kwani mimi nimesema wamekufa wote?

Hata akifa mmoja tu, swali langu liko pale pale.

Mungu kashindwa kumlinda huyo mmoja?

Hujajibu swali.
Hapana hajashindwa kaamua kumuondoa katika system kwakua hakumuumba kukaa duniani milele.
 
Kwa hiyo Allah kashindwa kumuondoa mtu duniani katika namna ambayo haitasababisha misikiti yake Allah mnayoiita mitakatifu ifungwe kwa kuogopa ugonjwa?

Mbona hili swali unalikwepa?

Mungu kwa nini ameachia waumini wake washindwe kujumuika misikitini kumuabudu kwa sababu ya kuogopa Corona?

Mungu kashindwa kuifanya Corona isiingie wala kuambukizwa msikitini watu wamjue kweli yupo wakimbikie misikitini kumuabudu?

Nikikwambia huyo Mungu hayupo, ni hadithi iliyotungwa na watu tu.

Ndiyo maana kashindwa kufanya Corona isiweze kuingia msikitini.

Kwa sababu ikiwa hayupo, hawezi kuzuia Corona kuingia msikitini.

Nikikwambia hivyo, utaweza kuthibitisha huyo Allah yupo kweli?
 
Allah anaabudiwa popote, sio lazima msikitini, kiufupi ibada maana, ni jina lililokusanya kila ambacho Allah anakipenda na kukiridhia katika kauli na matendo. Suala la kufunga misikiti ni mojawapo ya njia za kukabiliana na magonjwa ya mripuko, na Allah amewaelekeza waja wake wachukue tahadhari, pia amewaambia wasiziingize nafsi zao katika maangamizo.
 
Unaweza kuthibitisha kuwa Allah hayupo na kwamba ni hadithi tu? Unaanza vipi kuthibitisha hilo, wakati hapo mwanzo hukuwepo? Unazaje wakati hata mbwa anakushinda kunusa harufu, unanzaje kukanusha kuwa hayupo wakati hata huwezi kuona angani bila ya visaidizi. Unanzaje kukanusha wakati bila ya microscope huwezi kuona microorganisms? Human being are weak. You can't deny him.
 
Mi nimethibitisha Allah hayupo na uthibitisho nimeuweka humu
 
Okay, nani ataamua kama uthibitisho wako upo sahihi? Umetumia kitu gani ambacho tunaweza sote tukakubaliana kama ndio marejeo juu ya uthibitisho wako? You feel me right? There must be something, I mean the source of the validity.
 
I got the Quran and the saying of the Prophet Muhammad peace be upon him, as my source of validity, what do you have?
 
Hayo yote yamejieleza kwenye uthibitidho ambao nimeuweka

Uthibitisho huo nimekuambia upo humu why do you keep asking some annoying questions?
 
Allah anaabudiwa popote, sio lazima msikitini, kiufupi ibada maana, ni jina lililokusanya kila ambacho Allah anakipenda na kukiridhia katika kauli na matendo. Suala la kufunga misikiti ni mojawapo ya njia za kukabiliana na magonjwa ya mripuko, na Allah amewaelekeza waja wake wachukue tahadhari, pia amewaambia wasiziingize nafsi zao katika maangamizo.
Hujajibu swali.

Allah kashindwa kuzuia Corona isiingie msikitini?

Mbona angefanya Corona iweze kuwepo sehemu yote ;lakini watu wakiingia msikitini tu wanapona, dunia nzima ingejua kweli Allah yupo na ni Mungu.

Lakini, sasa hivi watu wanakimbia misikiti tunaona huyu Allah ni Mungu wa hadithi tu.

Kashindwa kuzuia Corona kuingia misikitini ati!
 
I got the Quran and the saying of the Prophet Muhammad peace be upon him, as my source of validity, what do you have?
The Quran is full of contradictions, therefore it cannot be the source of validity.

Do you understand that?

Bado hujathibitisha Allah yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi tu.
 
I got the Quran and the saying of the Prophet Muhammad peace be upon him, as my source of validity, what do you have?
I didn't ask you to bring the proof of your book

Mimi nimekuona ukidai ushahidi wa kutokuwepo Allah kwa mdau. Na mimi uthibitisho huo nimeuweka humu

Sasa kabla ya yote nataka uupitie kisha tuendelee hatua inayofuata
 
Unaweza kuthibitisha kuwa Allah hayupo na kwamba ni hadithi tu? Unaanza vipi kuthibitisha hilo, wakati hapo mwanzo hukuwepo? Unazaje wakati hata mbwa anakushinda kunusa harufu, unanzaje kukanusha kuwa hayupo wakati hata huwezi kuona angani bila ya visaidizi. Unanzaje kukanusha wakati bila ya microscope huwezi kuona microorganisms? Human being are weak. You can't deny him.
Allah anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa contradictions, kwa "proof by contradiction" unaelewa hilo?

Bado hujathibitisha Allah yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi tu.
 
Allah anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa contradictions, kwa "proof by contradiction" unaelewa hilo?

Bado hujathibitisha Allah yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi tu.
Yes, I do, but is "proof by corporations valid"
 
Allah anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa contradictions, kwa "proof by contradiction" unaelewa hilo?

Bado hujathibitisha Allah yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi tu.
He's there because he said he is.
 
Back
Top Bottom