Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tahadhari ya nini kama dua inafanya kazi?Dini ya kiislamu imefunza waumini wake kuchukua tahadhari. Panapo ibada na afya basi afya ya mtu hutangulizwa mwanzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tahadhari ya nini kama dua inafanya kazi?Dini ya kiislamu imefunza waumini wake kuchukua tahadhari. Panapo ibada na afya basi afya ya mtu hutangulizwa mwanzo.
Hii ya kuran kuwa na mafundisho ya sayansi leo kuna mtu kaikana katakataBado hai make sense wajua kwanini !?
Huwa mnasema katika Qur'an Kuna mafundisho yote mpaka sayansi Sasa Kama hivyo ndivyo inakuwaje waislam mshindwe kuja na tiba kwanini msitumie hiyo Qur'an ambayo ndani yake' Ina mafunzo ya kisayansi kuiponya dunia kutofanya hivyo hauoni kwamba inadhihirisha wazi kuwa huwa mnatudanganya
Unaelewa shabaha ya mtihani?Nd maan binadamu nimekupa mfano wa kuhus mtihani wa what is biology. Mitihani ya Mungu ni hayo majanga know the difference. Turudi kwenye hoja. Mungu katoa vitabu vitakatifu vilivyoeleza kinaga ubaga madhara ya ukaidi. Nd inatakiwa ujibu paper sasa. Kwani huwezi ukampa mtu swali la mtego ili ajijue ni mjinga kaisi gani kiasi kwamba aombe msaada?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Prevention is better than cure this statement can easily make sense in the world where god does not existKwani katika sayansi hakuna kipengele cha prevention and control Mkuu? Au hujui njia za kukabiliana na magonjwa ya mripuko?
Hujawahi hata kusikia prevention is better than cure?!
Kwani si kimeshushwa?Hahahaha, ila sayansi ni kubwa, upande wa pili wa Quran yaani hadithi za Mtume zimewataka watu watafute tiba kwa kila ugonjwa. Sasa kama Quran unataka ilete tiba ya kila gonjwa unadhani kingeweza kuwa na ukubwa gani?!
Unakubali kila kitu kinafata utaratibu ambao mungu amekiwekea?Baada ya kufaulu huo mtihani kuna malipo, halafu uwepo wa mwanadamu duniani ni wa muda tu hivyo hakuumbwa kuwa abaki duniani kufa lazima atakufa iwe kwa Corona ama chengine chochote hizo ni sababu tu ambazo aliyewaumba alitaka mfumo wa maisha uwe hivyo
Hapana, hajashindwa kuyazuia, ila mfumo wake wa utendaji kazi ameweka wanaadamu wafanye sababu ili waweze kujitatulia shida zao. Na kwakuwa tayari ameshawapa akili ya kuweza kufanya hivo.Prevention is better than cure this statement can easily make sense in the world where god does not exist
Kwanini kuwe na prevention kwenye ulimwengu ambao mungu mjuzi wa yote, upendo wote na muweza wa yote ndio mtawala?
Sayansi imeshindwa namna ya kudhibiti magonjwa yasiweze kuumba ulimwengu na ndio maana imeweka precautions
Sasa mungu anayekupa taadhari inamaana kashindwa kuyazuia?
Ndio kila kitu kinafata utaratibu, hakuna ambalo lipo nje ya utaratibu ambao muumbaji kauweka. Yawe mazuri machoni mwetu ama yawe mabaya, yeye ndiye muendeshaji wa kila kitu.Unakubali kila kitu kinafata utaratibu ambao mungu amekiwekea?
sawa founder wa virus. 😌Itabidi ujiengeze kugoogle japo kidogo kuhusu virusi
kwa hiyo unamaanisha alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?Hapana, hajashindwa kuyazuia, ila mfumo wake wa utendaji kazi ameweka wanaadamu wafanye sababu ili waweze kujitatulia shida zao. Na kwakuwa tayari ameshawapa akili ya kuweza kufanya hivo.
uthibitisho wa hili unao?Ndio kimeshushwa na Jibril kidogo kidogo kutokana na matukio yaliyokuwa yakitokea.
kwa maana hiyo huwezi kumlaumu mtu kwa namna alivyo kua kwasababu we're just programmed?Ndio kila kitu kinafata utaratibu, hakuna ambalo lipo nje ya utaratibu ambao muumbaji kauweka. Yawe mazuri machoni mwetu ama yawe mabaya, yeye ndiye muendeshaji wa kila kitu.
Si ndio umeona wanaendelea kuifunga? Wanafunga huku wanajaribu kuua hao covid 19, huwezi jua labda wakijiridhisha (baada ya kupulizia dawa ) wanaifungua mmoja mmojaSasa watafunga mingapi maana mtu anaweza kuswali kila sala kwenye misikiti tofauti kwa siku moja,kuanzia alfajiri hadi usiku akawa katumia misikiti tofauti.
Sahihi bukhariHahahaha umetoa wapi hayo maneno ya Mtume