#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Esopo tu hizo [emoji16][emoji16]

Mungu kwanini awajaribu watu wake wakati nimjuzi wa kila kitu Ina maana Hana uhakika Ni Imani ya watu wake dhidi yake' maana Kama yeye Ni mjuzi wa kila kitu Ni wazi kwamba lazima atakuwa anajua kwamba fulani na fulani Imani yao Ni ya kinafiki dhdi yangu na fulani na fulani Imani yao ni thabiti dhidi yangu '' Sifa ya kumjaribu mtu au watu Ni sifa inayotoa kiashirio kwamba yule anaye mjarubu mtu Huyo au watu hao Hana uhakika asilimia Mia kwamba watu hao au mtu Huyo anaimani ya dhati kwake au anaupendo wa dhati kwake '' Je tukisema kwamba Mungu Nikisema kwamba Mungu hajielewi nitakuwa nakosea !?? Inawezekana vipi mjuzi wa yote awapime watu wake imani huo ujuzi wake wa yote uko wapi Kama huo ujuzi anao kwanini asitumie huo ujuzi ili aweze kubaini wanao. Muamini kwa dhati na wale wasiomuani ' mpaka Aue watu kwanza tena watu wengine hawana hata hatia maana katika Hilo kundi la watu Kuna wale wanaomuamini na wasiomuani pia huwa wanakufa bila kusahau watoto wadogo .... Huyo Mungu wenu ananielewa kweli [emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] piga spana hao
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inachekesha Sana kuona kwamba katika dini zenu mnafundishwa kwamba tumtegemee Mungu katika kila Jambo halafu pindi inapotokea matatizo makubwa Kama hili la Corona Huyo Mungu anabaki kuzubaa zubaa tu anawaacha watu wafe
 
Ningefahamu Mtazamo wako kama huamini kabisa uwepo wa Mungu au huamini Uislam ila unaamini uwepo wa Mungu, ningekujibu hoja zako kwa njia ya mifano rahisi tu ya mazingira yetu naamini ungenielewa kama dhamira yako ni kuelewa sio vinginevyo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] piga spana hao
Tatzo ukiwa kondoo kila unachoambiwa huelewei
Hizi dini znawafanya watu wasitumia akili zao vzr watu hawawezi hata kuhoji???
Unachoambiwa na kiongozi wa dini ndio hicho hicho unakifuata
 
Ningefahamu Mtazamo wako kama huamini kabisa uwepo wa Mungu au huamini Uislam ila unaamini uwepo wa Mungu, ningekujibu hoja zako kwa njia ya mifano rahisi tu ya mazingira yetu naamini ungenielewa kama dhamira yako ni kuelewa sio vinginevyo
Siamini katika vyote Maana ukianza kunieleza kuhusu uwepo wa mazingira najua utajenga hoja kuwa hivyo vyote visit geweza kuwepo bila ya Uwepo wa Mungu

Na Mimi nitajenga hoja kuwa Kama ili kitu kiwepo Ni lazima awepo aliyekiumba au kukiunda Basi Huyo Mungu pia uwepo unasababishwa na aliye mfanya kuwa Mungu .... So siamini ktk chochote baina ya hivyo vitu viwili
 
Shukran kwa mawazo yako!
 
Tatzo ukiwa kondoo kila unachoambiwa huelewei
Hizi dini znawafanya watu wasitumia akili zao vzr watu hawawezi hata kuhoji???
Unachoambiwa na kiongozi wa dini ndio hicho hicho unakifuata
Yaani huo ndio utumwa uliobakia Africa [emoji16][emoji16][emoji16] utumwa wakukosa weledi wa kufikiri

Unapelekwa tu Kama ling'ombe utaambiwa yesu alipaa angani na kwenda mbinguni sijui Muhammad alipaa angani akaenda mbinguni ... Unatuambia Sasa thibitisha Jambo hili linawezekanaje !? Unaweza kututhibitishia kuwa Kuna mbingu na Kama ipo iko wapi [emoji38][emoji38]

Mtu anabaki kutoa toa macho tu then kwa kuwa walifundishwa ujinga huko Basi ataanza kukuambiaga wewe Ni kafiri yaani wanajiwekea defense mechanism
 
Dini zote mifumo ya uendeshaji ni ile ile tu... watu wanashindwa kuelewa dini ni taasisi hakuna taasisi inajiendesha kwa hasara...!!! U


Alafu kinachoniuma hawa watu weupe waliotuletea dini hawatupendi sana lkn sisi kutwa kujifananisha na wao...!!! Unakuta unaambiwa jina la kwako la kiasili mfn ngonyani halina baraka limelaaniwa lkn jina la emmanuel, joseph , mariam, muhammad, aisha, yusufu ndio yamebarikiwa na sisi tusivyokuwa na akili tunaamin ni kweli ila hutakuta mzungu pale london anajiita kimweli au mwarbu saudia anajiita kimario yani ni utumwa tu umetutawala alufu tunatakaka tuendelee km nchi za ng'ambo
 
Huko hakuna vita ya kiuchumi?
 
Alafu Allah anasema tufia dini yake sasa corona kama tunaiogoa jihad mtaweza kweli.. je ikiwa ni mpango makafiri kuwafanya msiwe waumi? Watu wasijifunze dini ya Allah? Au watu wasipate dawa ama watu wasifanye hijja? Hauoni kama mtakuwa mnamuasi Allah
Imani kitu kingine dah

Kwa shehe Sharif watu hawakauki, kwa Mwamposa watu zaidi ya elfu2 kila siku, kwa kuhani Musa watu zaidi ya elfu2 kwa ibada.... kwa maelezo ya uhakika haijatokea kati ya hao waumini kupata corona

Chukua tahadhari, kula vizuri, fanya mazoezi, fanya kazi ila kubwa zaidi muombe sana mwenyezi Mungu
 
Kwa hiyo huo ndio utetezi wa kutofunga nyumba za ibada Huko Kwny kisiwa chenu cha Fiji?
Issue hapa ni kufunga msikiti baada ya waumini kukutwa na corona,ingekuwa vyema kama wangefunga misikiti yote ya nchi nzima tu kabisa kuliko kwamba wamefungua nyumba zao za ibada halafu wakipata kesi ya muumini kuwa na corona ndio wanafunga msikiti wakati muumini mmoja wa mwenye hiyo corona anaweza kuwa ameingia hata kwenye misikiti mitano tofauti kwa siku.
 
Saudia wapuuzi hawa. Imani nayo imewapungua sana kwa kupenda starehe za dunia.
Wati wameonekana na korona tu mnafungua msikiti.Hata hawajafa.Na kama wakifa hata 100 bado wawache watu wafie humo huku wakiabudu.
Mbona masoko na mabaa yako wazi.Na hawajachunguza vizuri corona ukiingia nayo msikitini hasa pale haramu inakufa yenyewe.
 
Yaani,sio huwa inafungwa tu bali hata tahadhari huchukuliwa, mfano kukaa urefu baina ya mtu na mtu, uvaaji wa barakoa na health mesures zengine
 
Restaurants pia zilifungwa,
 
Saudia inatoa misada mingi tu, pia Corona sio janga la kwanza kuikumba dunia , hija ilishaharishwa kabla kutokana na maradhi ya mlipuko.
 
Baada ya kufaulu huo mtihani kuna malipo, halafu uwepo wa mwanadamu duniani ni wa muda tu hivyo hakuumbwa kuwa abaki duniani kufa lazima atakufa iwe kwa Corona ama chengine chochote hizo ni sababu tu ambazo aliyewaumba alitaka mfumo wa maisha uwe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…