Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,517
- 4,477
So, which religion for which party?🙁
CUF ni wakatoliki
Tehe te he teheehee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So, which religion for which party?🙁
CUF ni wakatoliki
Kunya anye bata, akinya kuku uchafu.
ishakua rusha roho sasa. haya wenye dini zenu bwana pindisheni midomo tupate kuwasikiaKuimba aimbe kasuku, akiimba bundi uchuro!
Kiongozi according to whmo? kama ni kwa ajili ya makanisa then huo ni UDINI! (opportunitiscs)
a)Kazi ya kutoa elimu ya uraia siyo ya Kanisa wala msikti ni Tume ya uchaguzi (serikali)
b) Kanisa limepanga mkakati wa kumiliki uchaguzi tutegemee shida baadaye nchi imeshakos umoja naona hatari ya kubaguana imekaribia
c) tunahitaji kiongozi atakayeaminiwa na wakristo na waislamu wote (yaani atakayeaminiwa na watanzania wote bila kujali dini...otherwise
d) Conclusion: Walichofanya kanisa katoliki ni ubaguzi!, Walichofanya waislamu ni ubaguzi! (Wote hawafai)
Tusichague Mkatoliki wala muislamu inabidi tuchague (otodox) wale wanaosali jumamosi watakuwa afadhali.
Hii concept ya ndg zetu waislamu kabla hata haija-mature mijitu tiyari mimacho imewatoka kwa chuki zao..Yaani hawataki hata kupata full story tayari wameshatoa hukumu!
Ukisoma muelekeo wa thread utagundua watu wengi humu wanakosa objectivity kwa kiwango cha kusikitisha. Nijuavyo JF ni ile cream ya waTz ambao wamefuta ujinga. Kujua kutumia PC na kutuma post ni dalili umepitia phases basic za kufuta ujinga..Sasa kama top cream can think this low, nadhani hali ni mbaya zaidi kule vijijini na majiani..
Mungu atunusuru.
Kuna viongozi wa kidini wanaotumika katika siasa hawa ndio maadui ,mahubiri yao hujihusisha sana na siasa wengine kufikia kusema kuwa fulani ni chaguo la Mungu ,sasa ukifikia kusema hivyo ni sawa na kuwaelekeza wafuasi wa dini wakumchagua.
Haya mambo wakati mwingine yana kila aina ya upuuzi! Haya makundi mawili yanataka kufundisha vitu viwili tofauti kuhusu haki za uraia au masuala ya uraia? Ni kwa sababu hiyo tu ndiyo utaona ulazima wa Makanisa kuwa na elimu yao ya "uraia" na Misikiti kuwa elimu yao ya uraia na vile vile taasisi nyingine kuja na elimu yao ya "uraia".
Kama hawa wote wangekuwa na nia nzuri ya kumfundisha mwananchi kanuni na misingi ya uraia na ushiriki wa kidemokrasia basi wangekaa chini wasomi wa kiislamu na wa kikristu na asasi nyingine na kutunga somo hilo la uraia na watu wake waweze kuelewa na hivyo shehe wa kiislamu anaweza kuja kufundisha kwenye jamii ya wakristu (baada ya ibada n.k) mambo ya uraia na mchungaji au mwalimu wa dini anaweza kuzungumza mbele ya waislamu juu ya uraia bila hofu ya kuwa anaeneza mambo kwa misingi ya udini.
Nje ya hapo ni ujuha na kufukuza upepo! NI kuleta migongano isiyo ya lazima.
Kama wewe uliona CUF wakigawa kadi misikitini ulishindwa nini kusema kwa vyombo husika acha elimu yako na thinking yako iko chini sana, akili yako kama omary mahita? unanikumbusha mbali kweli ulivyo mjinga? unadahni nchi haina usalama? acha propaganda na unafiki?
Sasa nao wanataka mtu ambaye ataanzisha Mahakama ya Kadhi japokuwa CCM katika Ilani yao wanasema hivyo lakini Waislam wana haki ya kuidai CCM ile Ilani inayosema kuwa wataanzisha mahakama ya kadhi
Hiyo siyo kazi ya Kanisa? ni kazi ya vyama vya siasa, Tume ya uchaguzi na serikali...hawana jipya zaidi ya UDINI uliotukuka! walaaniwe wote wanaotaka kutugawa kwa misingi ya dini zetu hasa hawa wakatoliki.
Unapije nia nzuri?
Nia nzuri hujipajiki lazima uonyeshe kwa vitendo na uwe tayari kwa mjadala na jamii!
Kanisa limeanzisha waraka wa uchaguzi wengi tulitegemea laziam waislamu wata-counter attack... that is the nature kama unaona kuna watu wanataka kujipendelea kwa namna yeyote ile!
ushauri wangu: Kanisa liweke wazi na miskiti iweke wazi! au yote mawili yafutwe kwakuwa naona ni "UDINI" hakuna jipya wakristo wadini waislamu wadini no less than that ..futa upuuzi wa wakatoliki na waislamu waache waumini waamue kwa elimu yao wenyewe !
Kwa jinsi ulivyo kasirika inaonyesha tu kwamba hauko huru kwenye mawazo yako grow up!
Hakuna aliyekutukana nimekwambia uwezo wako ni mdogo sana, kama ulishafikisha mbona hatukusikia watu wakipelekwa mahakamani kwa kuvunja sheria ya nchi? kwasababu kufanya hivyo ni kinyume na sheria! sijawahi kuona watu wakipelekwa kisutu kwasababu?
Akili yako kweli kama Omary Mahita mkuu (unajua alitakiwa afanyaje?) alitakiwa kuwashika na kuwashtaki wahalifu siyo kupiga siasa na ujinga na propaganda "Lakini hatajaona aliyepelekwa mahakamani upuuzi mtupu" low thinking!