Kama kuna kitu kinakera ni kujiona dhaifu, unaonewa n.k. Ndugu zetu waislamu kila siku wao ni kulalamika tuuu, mara udini mara n.k. Why..?? Mambo yafuatayo yamewahi kunikera sana tena sana..!!
1. Malalamiko Juu ya Uteuzi wa Viongozi na Selection Wanafunzi:
Wakati wa Mwinyi hawa jamaa waliwahi kudai kuwa uteuzi wa viongozi unabase sana kwenye udini. Wakaongeza kuwa, hata selection ya wanafunzi from Form IV to V nao unabase kwenye udini bila kusahau kuwa waziri wa elimu by then alikuwa Professor Juma Kapuya. And I remember Kapuya naye aliwaponda kwa kuwaambia kuwa, uongozi plus shule inaangalia uwezo wa mtu.
2. Malalamiko Dhidi ya Mchakato wa Kanisa:
Unless sijauelewa vizuri, ila lengo kuu la huu mchakato si kuwapenyeza vingozi wa kikristo kwenye ubunge au urais, la hasha. Lengo ni kuwaelemisha wananchi juu ya maandalizi ya uchaguzi kama wakristo. Ikiwa ni pamoja na kusali, na hata kwa wale watakaopenda kujiweka katika mchakato, then wawe wameelimika kidini lengo likiwa ni kupunguza ufisadi. Ufisadi ni ugonjwa wa kiroho, yaani mtu mwenye roho chafu ya kifisadi, hata umpe Twin Towers umwambie ni ya kwake, bado kesho atafanya ufisadi. So, ni swala la kiroho zaidi, na ndio maana kanisa likaonelea liwaelemishe waumini juu ya ufisadi, uchaguzi, na hata uongozi wa nchi. Hii ikiwa ni kupunguza dhana potofu ya kuwa ukipata uongozi umeula.
3. Mahakama ya Kadhi:
Niliwahi kusikia malalamiko juu ya kwanini serikali yetu ina ubalozi Rome plus why tuna baraza la maaskofu and why pasiwe na mahakama ya kadhi. Huu kwangu mimi ni upungufu wa confidence. Ubalozi Rome ni sawa na sisi tulivyo na balozi pale Iran na nchi nyingine za kiarabu ambazo mlengo wake ni wa kiislamu zaidi. Ikaja mada ya why tuna Baraza la Maaskofu, it's ok ila cha muhimu isiingilie taratibu wala katiba ya nchi. Mahakama ya kadhi ililenga kwenye kuingia hadi kwenye katiba na ukichimba zaidi, ndio maana walitaka hata Stamp ya serikali. Kama ni baraza tu la kawaida kama baraza la maaskofu, why wahitaji baraka za serikali. It means ilitaka kuingilia Judiciary system ya nchi. Ambapo, mkristo ukichangamana na muislamu kwenye anga zake then unakandamizwa kwenye mahakama ya kadhi. Wasifiche fiche concept ya mahakama ya kadhi, we know it very well. Kwa mantiki hii, huo udini wanauleta wao and not wakristo.
4. Kipindi cha Makwaia - Je Tutafika:
Huyu mzee kwa kweli ananikera and I even doubt uwezo wa mamlaka (MOAT) juu ya professionalism ya huyu mzee. Ukiwa mwandishi wa habari, hutakiwi kuwa biased in any topic inayojadiliwa. Huyu mzee ikijaga mada ya kiislamu and since yeye ni muislamu huwa anasimama kiislamu zaidi and huwa hapingani na upande wa uislamu. Pia nimeanza hadi kudoubt kuwa mada zake kama ile ya Kadhi, hii ya Kanisa na Uchaguzi plus hii ya juzi ya Iran; huwa anaandaa hadi waislamu wa kuja kudiscuss. Kwa kweli huyu mzee anakokwenda yapaswa kuzuiwa mapema otherwise atachochea machafuko kwa pande zote mbili hasa kwa watu ambao ni innocent kabisa na haya mabishano. Issue ya mchakato wa kanisa, alipaswa kumleta Pengo au Kilaine as ndio wahusika wakuu and not Lusekelo. Issue ya Kadhi alipaswa kuwaleta vingozi wa dini ya kikristo au wataalamu wa maswala ya sheria kama kina Mvungi n.k. and not wafata upepo kama kina Mrema.
In short, hii nchi jinsi waislamu wanavyotaka kuivuruga, sijapenda kabisa. Wanataka kuwa muhimu kuliko dini zingine, everytime. Na yote hii ni dalili ya mtu/watu kujiona udaifu.
Mungu awafungue macho na akili muweze kuona athari za mabishano haya yenye nia mbaya. Mungu ibariki Tanzania.