kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Msimu huu Simba Ana kila sababu ya kuwa bingwa
Team combination, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja(x-factor &fear factor players) Libase Chama, Oura, Maema, Mpanzu, Kaletso
Pia Wana sifa.ya timu bingwa kwenye mechi ngumu wanahakikisha hawaangushi points Kama mechi ya Jana vs Fountain Gate .
Huu msimu wanauwezo wa kuchukua makombe yote la ligi kuu na la CRDB ambalo yeye ndiye bingwa mtetezi.japo Ni mapema lakini Kuna muda unawaza Simba ataangusha Alama kwenye mechi gani?