Misimu huu Simba asipochukua ubingwa .haji kuchukua mpaka kiama

Misimu huu Simba asipochukua ubingwa .haji kuchukua mpaka kiama

Mahakama gani au sheria gani inayokubali kumtia mtu hatiani pasipo ushahidi/ uthibitisho?
Ushahidi wa mazingira unatosha kukutia hatiani,
Msijifiche kwenye kichaka cha ushahidi,,
Yanga inajivunia mpira wa maigizo
 
Ushahidi wa mazingira unatosha kukutia hatiani,
Msijifiche kwenye kichaka cha ushahidi,,
Yanga inajivunia mpira wa maigizo
Kwahiyo hayo maigizo yalikuwa yanawahusu hadi Simba? Umefungwa na Yanga mara ngapi?
Na kwanini Mashujaa kufungwa 6 unaona imeingia kwenye mfumo, ila kwa Yanga unahisi ni maigizo? Kwamba timu zinatakiwa zifanye makosa dhidi ya Simba pekee?
 
Ujanja ujanja tu,, KAYOKO, Arajiga wamehusika
 
Wale waamuzi waliotoka nje ya Tanzania vipi na wao?
Hesabu mechi iliyoamuliwa na makosa ya kibinaadamu na zile za marefa wa nje,
Utaona umeifunga simba kihalali mara ngp?
Hapo kuna goli la selemani mwalimu pale Zanzibar..mmelikataa.
 
Naomba nikuulize swali moja je hii mada unapenda tuijadili katika engo ipi? Tuijadili kwa engo ya kiuhalisia ama unataka tuijadili kwa engo ya kihisia? Naomba nipe jibu la hilo swali halafu ndio twende mbele sasa

Usipoteze nguvu zako kwa mtu ambaye anaongelea mpira kwa hisia wakishinda wao utasikia wanasema timu pinzani ilizidiwa ila akishinda Yanga bahasha imetembea
 
Nyakati zenu zile za kuanza kuomba GSM anaharibu ligi hazijafika... Ila zitafika!!. GSM anadhamini timu 8, GSM anahonga marefa!.
 
Msimu huu Simba Ana kila sababu ya kuwa bingwa

Team combination, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja(x-factor &fear factor players) Libase Chama, Oura, Maema, Mpanzu, Kaletso

Pia Wana sifa.ya timu bingwa kwenye mechi ngumu wanahakikisha hawaangushi points Kama mechi ya Jana vs Fountain Gate .

Huu msimu wanauwezo wa kuchukua makombe yote la ligi kuu na la CRDB ambalo yeye ndiye bingwa mtetezi.japo Ni mapema lakini Kuna muda unawaza Simba ataangusha Alama kwenye mechi gani?
Nguvu ya soda.
 
Back
Top Bottom