Umeongea kwa kujiamini sana kama vile una uhakika na pia kama vile unao ushahidi. Unaonaje ukapeleka huo ushahidi kwenye mamlaka usiku ili tuukomboe mpira wetu?Tatizo la simba wanajisahau sn,,
Mpira huwezi kushinda mechi zote,,
Na yanga wanatumia udhaifu wa simba wa kucheza mechi kweli..mwisho wa siku wenzetu wanatoa bahasha wanafanya maagizo wanashinda mechi zote..
Ifike mahali simba nayo iweke bahasha ubaoni...
Mechi kweli huwezi shindana na mechi za maigizo ni lazima utadondosha points tu..
Na ndy maana yanga pamoja na kuwa nyuma points 5 ila bado wanatamba kwamba wao ni mabingwa,,hii ni kwa sababu wanahakikisha wanacheza mechi za simba na mechi zao wanatoa bahasha wanafanya maigizo wanavuna points zote..
Mangungu is typing.....Msimu huu Simba Ana kila sababu ya kuwa bingwa
Team combination, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja(x-factor &fear factor players) Libase Chama, Oura, Maema, Mpanzu, Kaletso
Pia Wana sifa.ya timu bingwa kwenye mechi ngumu wanahakikisha hawaangushi points Kama mechi ya Jana vs Fountain Gate .
Huu msimu wanauwezo wa kuchukua makombe yote la ligi kuu na la CRDB ambalo yeye ndiye bingwa mtetezi.japo Ni mapema lakini Kuna muda unawaza Simba ataangusha Alama kwenye mechi gani?
Ushahidi gn mnaoutaka? Kwni maigizo na mechi za reality watu hawaoni?Umeongea kwa kujiamini sana kama vile una uhakika na pia kama vile unao ushahidi. Unaonaje ukapeleka huo ushahidi kwenye mamlaka usiku ili tuukomboe mpira wetu?
Hawa Mashujaa si ndio Simba waliifunga goli 6 vipi kulikuwa na maigizo? Je unawezaje kutafsiri kuwa haya maigizo katika mpira ikiwa mpira ni mchezo wa makosa?Ushahidi gn mnaoutaka? Kwni maigizo na mechi za reality watu hawaoni?
Hata lile goli la Mzize dhidi ya Mashujaa ni maelekezo matupu..
Mabeki hawawezi wakaacha space kama vile Mzize afunge kwa urahisi.
Umeona mechi ya simba dhidi ya fountain gate?
Umeona mabeki wanavyokaba?No space No kuachiwa kupiga.
Sasa subiri wacheze na yanga uone..
Goli 6 za simba unaona kabisa mashujaa walijaa kwenye mfumo wa Keletso na Oura..Hawa Mashujaa si ndio Simba waliifunga goli 6 vipi kulikuwa na maigizo? Je unawezaje kutafsiri kuwa haya maigizo katika mpira ikiwa mpira ni mchezo wa makosa?
Ukisema kuwa hauni maigizo maanake unaongea kihisia na kishabiki. Kwa mtu ambaye ana uhakika na jambo alitakiwa aseme kuwa kuna ushahidi kuwa kiongozi X kamuhonga mchezaji fulani ili timu ishinde. Au kiongozi X kafanya maongezi na wachezaji fulani ili kutengeneza mazingira ya ushindi. Sasa unaongea maigizo eti ndio ushahidi, uko na mentality ya ajabu sana aisee.
Naomba nikuulize swali moja je hii mada unapenda tuijadili katika engo ipi? Tuijadili kwa engo ya kiuhalisia ama unataka tuijadili kwa engo ya kihisia? Naomba nipe jibu la hilo swali halafu ndio twende mbele sasaGoli 6 za simba unaona kabisa mashujaa walijaa kwenye mfumo wa Keletso na Oura..
Jamaa wanakaba ila wamezidiwa,,
Sasa nambie kwa yanga ile ya kipindi cha kwnz kabla ya maigizo kuanza kipindi cha pili waliziidiwa nn?
Ile mechi kipindi cha kwnz ilikuwa mechi kweli .
Mkuu angel zote za kujadili yanga hatoki kwenye mechi za maelekezo.Naomba nikuulize swali moja je hii mada unapenda tuijadili katika engo ipi? Tuijadili kwa engo ya kiuhalisia ama unataka tuijadili kwa engo ya kihisia? Naomba nipe jibu la hilo swali halafu ndio twende mbele sasa
Maelekezo alitoa nani? Kwa njia gani? Wakati gani? Wakiwa sehemu gani? Na alisemaje?Niliwaambia watu pembeni kwamba hawa washapewa maelekezo wafungwe..
Ile ilikuwa mbaya kwa uongozi kama yanga angepoteza au kupata suluhu mechi ile.
Maelekezo yanatolewa halftime,huko dressing room.Maelekezo alitoa nani? Kwa njia gani? Wakati gani? Wakiwa sehemu gani? Na alisemaje?
50M ,hivi ubingwa ni sh ngpMaelekezo yanatolewa halftime,huko dressing room.
Narudia kwmba kipindi cha kwnza ilikuwa mechi kweli,walipoona ngoma ngumu yakaja pira maelekezo.
Mfano kiongozi mmoja wa mashujaa anafuatwa na bahasha 50M,back line yako pamoja na kipa wahakikishe tutapata points 3 hawatoi?
Umeshajiuliza mchezaji mmoja anasajiliwa 300M na analipwa 40M ,,hivi ubingwa sh ngp?kama hoja ni pesa za ubingwa umefeli.50M ,hivi ubingwa ni sh ngp
Hatuongelei mifano inatakiwa utoe uhalisia uliouona wakati maelekezo yanatolewa. Kwahiyo dress room alionekana kiongozi yupi wa Yanga akiingia kwenye vyumba vya mashujaa? Vipi una video ya huyo kiongozi ama una picha ya huyo kiongozi akiwa kwenye dress room ya mashujaa?Maelekezo yanatolewa halftime,huko dressing room.
Narudia kwmba kipindi cha kwnza ilikuwa mechi kweli,walipoona ngoma ngumu yakaja pira maelekezo.
Mfano kiongozi mmoja wa mashujaa anafuatwa na bahasha 50M,back line yako pamoja na kipa wahakikishe tutapata points 3 hawatoi?
Mtu anaweza akatiwa hatiani kwa mazingira,Hatuongelei mifano inatakiwa utoe uhalisia uliouona wakati maelekezo yanatolewa. Kwahiyo dress room alionekana kiongozi yupi wa Yanga akiingia kwenye vyumba vya mashujaa? Vipi una video ya huyo kiongozi ama una picha ya huyo kiongozi akiwa kwenye dress room ya mashujaa?
Mahakama gani au sheria gani inayokubali kumtia mtu hatiani pasipo ushahidi/ uthibitisho?Mtu anaweza akatiwa hatiani kwa mazingira,
Hivi yule uncle T kila mtu anajuwa analiwa ,je kuna mtu amishamfuma kitandani?
Ni mazingira pekee yanaonyesha uhalisia wa jambo..