Misimu huu Simba asipochukua ubingwa .haji kuchukua mpaka kiama

Naombeni muwe mnaweka risiti Makolo..
Mwisho wa msimu msije mkaanza kulia hamumtaki Mangungu…
 
Tatizo la simba wanajisahau sn,,
Mpira huwezi kushinda mechi zote,,
Na yanga wanatumia udhaifu wa simba wa kucheza mechi kweli..mwisho wa siku wenzetu wanatoa bahasha wanafanya maagizo wanashinda mechi zote..
Ifike mahali simba nayo iweke bahasha ubaoni...
Mechi kweli huwezi shindana na mechi za maigizo ni lazima utadondosha points tu..
Na ndy maana yanga pamoja na kuwa nyuma points 5 ila bado wanatamba kwamba wao ni mabingwa,,hii ni kwa sababu wanahakikisha wanacheza mechi za simba na mechi zao wanatoa bahasha wanafanya maigizo wanavuna points zote..
 
Umeongea kwa kujiamini sana kama vile una uhakika na pia kama vile unao ushahidi. Unaonaje ukapeleka huo ushahidi kwenye mamlaka usiku ili tuukomboe mpira wetu?
 
Mangungu is typing.....
 
Umeongea kwa kujiamini sana kama vile una uhakika na pia kama vile unao ushahidi. Unaonaje ukapeleka huo ushahidi kwenye mamlaka usiku ili tuukomboe mpira wetu?
Ushahidi gn mnaoutaka? Kwni maigizo na mechi za reality watu hawaoni?
Hata lile goli la Mzize dhidi ya Mashujaa ni maelekezo matupu..
Mabeki hawawezi wakaacha space kama vile Mzize afunge kwa urahisi.
Umeona mechi ya simba dhidi ya fountain gate?
Umeona mabeki wanavyokaba?No space No kuachiwa kupiga.
Sasa subiri wacheze na yanga uone..
 
Hawa Mashujaa si ndio Simba waliifunga goli 6 vipi kulikuwa na maigizo? Je unawezaje kutafsiri kuwa haya maigizo katika mpira ikiwa mpira ni mchezo wa makosa?
Ukisema kuwa kuna maigizo maanake unaongea kihisia na kishabiki. Kwa mtu ambaye ana uhakika na jambo alitakiwa aseme kuwa kuna ushahidi kuwa kiongozi X kamuhonga mchezaji fulani ili timu ishinde. Au kiongozi X kafanya maongezi na wachezaji fulani ili kutengeneza mazingira ya ushindi. Sasa unaongea maigizo eti ndio ushahidi, uko na mentality ya ajabu sana aisee.
 
Goli 6 za simba unaona kabisa mashujaa walijaa kwenye mfumo wa Keletso na Oura..
Jamaa wanakaba ila wamezidiwa,,

Sasa nambie kwa yanga ile ya kipindi cha kwnz kabla ya maigizo kuanza kipindi cha pili waliziidiwa nn?
Ile mechi kipindi cha kwnz ilikuwa mechi kweli .
 
Naomba nikuulize swali moja je hii mada unapenda tuijadili katika engo ipi? Tuijadili kwa engo ya kiuhalisia ama unataka tuijadili kwa engo ya kihisia? Naomba nipe jibu la hilo swali halafu ndio twende mbele sasa
 
Mkuu angel zote za kujadili yanga hatoki kwenye mechi za maelekezo.
Ile mechi ya mashujaa unaona kabisa kipindi cha pili wamekaa nyuma ili kutengeneza mashambulizi wafungwe.
Niliwaambia watu pembeni kwamba hawa washapewa maelekezo wafungwe..
Ile ilikuwa mbaya kwa uongozi kama yanga angepoteza au kupata suluhu mechi ile.
 
Niliwaambia watu pembeni kwamba hawa washapewa maelekezo wafungwe..
Ile ilikuwa mbaya kwa uongozi kama yanga angepoteza au kupata suluhu mechi ile.
Maelekezo alitoa nani? Kwa njia gani? Wakati gani? Wakiwa sehemu gani? Na alisemaje?
 
Maelekezo alitoa nani? Kwa njia gani? Wakati gani? Wakiwa sehemu gani? Na alisemaje?
Maelekezo yanatolewa halftime,huko dressing room.
Narudia kwmba kipindi cha kwnza ilikuwa mechi kweli,walipoona ngoma ngumu yakaja pira maelekezo.
Mfano kiongozi mmoja wa mashujaa anafuatwa na bahasha 50M,back line yako pamoja na kipa wahakikishe tutapata points 3 hawatoi?
 
50M ,hivi ubingwa ni sh ngp
 
Hatuongelei mifano inatakiwa utoe uhalisia uliouona wakati maelekezo yanatolewa. Kwahiyo dress room alionekana kiongozi yupi wa Yanga akiingia kwenye vyumba vya mashujaa? Vipi una video ya huyo kiongozi ama una picha ya huyo kiongozi akiwa kwenye dress room ya mashujaa?
 
Mtu anaweza akatiwa hatiani kwa mazingira,
Hivi yule uncle T kila mtu anajuwa analiwa ,je kuna mtu amishamfuma kitandani?
Ni mazingira pekee yanaonyesha uhalisia wa jambo..
 
Mtu anaweza akatiwa hatiani kwa mazingira,
Hivi yule uncle T kila mtu anajuwa analiwa ,je kuna mtu amishamfuma kitandani?
Ni mazingira pekee yanaonyesha uhalisia wa jambo..
Mahakama gani au sheria gani inayokubali kumtia mtu hatiani pasipo ushahidi/ uthibitisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…