Ushahidi wa mazingira unatosha kukutia hatiani,Mahakama gani au sheria gani inayokubali kumtia mtu hatiani pasipo ushahidi/ uthibitisho?
Kwahiyo hayo maigizo yalikuwa yanawahusu hadi Simba? Umefungwa na Yanga mara ngapi?Ushahidi wa mazingira unatosha kukutia hatiani,
Msijifiche kwenye kichaka cha ushahidi,,
Yanga inajivunia mpira wa maigizo
Ujanja ujanja tu,, KAYOKO, Arajiga wamehusikaKwahiyo hayo maigizo yalikuwa yanawahusu hadi Simba? Umefungwa na Yanga mara ngapi?
Na kwanini Mashujaa kufungwa 6 unaona imeingia kwenye mfumo, ila kwa Yanga unahisi ni maigizo? Kwamba timu zinatakiwa zifanye makosa dhidi ya Simba pekee?
Wale waamuzi waliotoka nje ya Tanzania vipi na wao?Ujanja ujanja tu,, KAYOKO, Arajiga wamehusika
Hesabu mechi iliyoamuliwa na makosa ya kibinaadamu na zile za marefa wa nje,Wale waamuzi waliotoka nje ya Tanzania vipi na wao?
๐ฆApigwe tu
Uhakika ni simba au Yanga?๐ฆApigwe tu
๐๐๐Uhakika ni simba au Yanga?
Naomba nikuulize swali moja je hii mada unapenda tuijadili katika engo ipi? Tuijadili kwa engo ya kiuhalisia ama unataka tuijadili kwa engo ya kihisia? Naomba nipe jibu la hilo swali halafu ndio twende mbele sasa
Ni simba kumbe, kazi unayo...๐๐๐
Nguvu ya soda.Msimu huu Simba Ana kila sababu ya kuwa bingwa
Team combination, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja(x-factor &fear factor players) Libase Chama, Oura, Maema, Mpanzu, Kaletso
Pia Wana sifa.ya timu bingwa kwenye mechi ngumu wanahakikisha hawaangushi points Kama mechi ya Jana vs Fountain Gate .
Huu msimu wanauwezo wa kuchukua makombe yote la ligi kuu na la CRDB ambalo yeye ndiye bingwa mtetezi.japo Ni mapema lakini Kuna muda unawaza Simba ataangusha Alama kwenye mechi gani?