MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Khadhari kweli helua helua, Masry nakoswa Dakika ya 52 Yallah Al Masry
 
Ukiingia YouTube andika Nile sport wanaonyesha mechi live
 
Ila simba amejitahidi aisee...

Naona kuna goli moja la simba dakika za majeruhi....
 
Aksante kwa kushiriki......baada ya kuona kwenye makampuni ya kubet kapewa odds 1.6 kwa 17 nimepata matokeo tayari.......acha nilale tu.
 
Waarabu wametunyima raha ya kuona mpira. Hivi Misri iko Afrika kweli? OAU? CAF? Huu si uungwana.
Nenda youtube Search Nile Sport mechi mubashara unaipata
 
Mkia naona sasa wanakomaa wanaweza kwabahatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…