MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

Khadhari kweli helua helua, Masry nakoswa Dakika ya 52 Yallah Al Masry
 
Ila simba amejitahidi aisee...

Naona kuna goli moja la simba dakika za majeruhi....
 
Aksante kwa kushiriki......baada ya kuona kwenye makampuni ya kubet kapewa odds 1.6 kwa 17 nimepata matokeo tayari.......acha nilale tu.
 
Waarabu wametunyima raha ya kuona mpira. Hivi Misri iko Afrika kweli? OAU? CAF? Huu si uungwana.
Nenda youtube Search Nile Sport mechi mubashara unaipata
 
Back
Top Bottom