Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi.

Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo.

Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika?

Trump alipoziita SHIT HOLE COUNTRIES, aliyajumuisha na hayo mataifa mawili "makubwa" Afrika?
 
Back
Top Bottom