Misri na Israel waanza kupigana Rafah. Askari wa Misri afa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa.

Tayari kuna mazungumzo ya kupunguza hamasa za kivita huku kila upande ukisema unafanya uchunguzi kujua kilichopelekea mkasa huo.
---
Egyptian service members and Israeli Defense Forces exchanged gunfire Monday at the Rafah border crossing along the Gaza Strip, the Times of Israel is reporting.

Other Israeli media outlets are reporting that an Egyptian soldier was killed Monday during the incident.

The Israel Defense Forces said "a shooting incident occurred on the Egyptian border" and that the "incident is under review and discussions are being held with the Egyptians."

A statement from the Egyptian Armed Forces later said it was "conducting an investigation by the relevant authorities regarding the incident of gunfire in the border area of Rafah, which led to the martyrdom of one of the personnel assigned to the protection duty."

The gunfight comes just hours after an Israeli airstrike on a Hamas compound in Rafah killed two top Hamas officials as well as dozens of civilians.

While the exact number of killed remains unclear at this time, the IDF confirmed that it struck a Hamas compound in which "significant Hamas terrorists were operating."

The IDF said it carried out the strike "against legitimate targets under international law."

IDF sources told Fox News Digital the strike eliminated Yassin Rabia, the commander of Hamas’ leadership in Judea and Samaria, as well as Khaled Nagar, a senior official in Hamas’ Judea and Samaria wing.

The IDF said both men had perpetrated numerous terrorist attacks in the early 2000s in which Israeli civilians and soldiers were killed.

Egyptians, IDF exchange gunfire at Rafah border crossing: reports

Tatizo la Arabs walidanganywa na Mudy kuwa Arabs ni best creation ya Allah so wanatakiwa kuwa supremacy dhidi ya watu wengine... Sasa wamekutana na Jiwe Netanyahu haogopi Arabs wala Muslim wala Allah anachapa tu akitaka walie,wapige kelele,wanye mwendo ni kichapo tu..

Kuna Siku Askari wa Egypt alimuua makusudi mtalii wa Israel.. sasa hapo mpakani alidhani ataachwa afyatue tu risasi watu wakiwa kazini kawahishwa akawahi mabikira 70 kabla hawajaisha maana this time Hamas wanafaidi mno...
 
Mkuu mbona unachanganya mada unahusisha watu innocent au dishi limeumba?
 
Je wamepigana kisa dini!?

Kwa kukanusha pia, huyo muddy hakusema hivyo, aliwaambia "mbora baina ya wanadamu ni yule mchamungu" haijalishi ni mchina, mnyamwezi, muarabu, mzungu, muafrika, kiwete, zeruzeru ama nani, kwa mungu aliyekuwa bora ni yule mywenye juhudi katika kumuabudu mungu.
 
Anachanganya vitu intentionally kukuonyesha jinsi huyu hana masihara na mtu yeyote! Ukija kushoto kichapo ukituma hezbollah wa-attack from the north kichapo,ukituma egypt wa-attack from the south kichapo! Ukiagiza iran wa-attack from far middle east kichapo yaani ni balaa huyu netanyau.
 
Hahaha wakati yeye anaishi Ikwiriri anakosa ata maji safi na lishe bora, wanatumia bwawa la maji pamoja na wanyama, kwanza apambane na hari yake ndo angalie ya kimataifa badaye.......
 
Ni kuomba tu wenzetu wapunguze chuki dhidi ya wengine, mtu mpaka anatukana jamii nzima kwa chuki zake binafsi.
Ni vitu vya kishamba kwa kweli, hizi dini lazima tuzisome vema, kisha tuijue dunia ikoje.

A level nilikuwa nina rafiki yangu ye msabato pure, mwezi wa ramadhani ananisapoti hali wala nini, sio kwamba nilimfosi hapana ni upendo tu, mie nae tushawahi kuzungumzia maandiko mara chache lakini haikuwahi kupigizana kelele kwenye dini wala mabishano.
 
Tatizo ni waubili wa siku hizi wachungaji badala ya kufundisha dini wanaubili chuki kwa kondo zao, mpaka mfuasi ana chukia mwenzie bila sababu, mimi mwenyewe nina rafiki moja tu maishani mwangu ni RC tangu tuko o level zaidi ya miaka 25 ila tumeshibana kuna kipindi tuko semina ananipa kanga yake nifanye ibaada bila hiayana na anajua Dini yake vizuri sana ila tunapendana basi tu.
 
Je wamepigana kisa dini!?

Kwa kukanusha pia, huyo muddy hakusema hivyo, aliwaambia "mbora baina ya wanadamu ni yule mchamungu" haijalishi ni mchina, mnyamwezi, muarabu, mzungu, muafrika, kiwete, zeruzeru ama nani, kwa mungu aliyekuwa bora ni yule mywenye juhudi katika kumuabudu mungu.
Qur'an imetaja mwanamke mbora duniani ni Bi Maryam.mama yake Yesu na wala si mama yake mwenyewe Muhammada s.a.w
 
Mkuu mbona unaangaika vip? Una mimba changa? mbona hu uzi sio wa dini unachokoza watu wa nini acha chiki dhidi ya dini zingine.
 
Qur'an imetaja mwanamke mbora duniani ni Bi Maryam.mama yake Yesu na wala si mama yake mwenyewe Muhammada s.a.w
Sasa ajabu nini sasa hapo!? Mama yake yesu kuwa bora kuliko mama yake Muhammad.
Ni sababu alikuwa mchamungu kuliko kawaida, na aliyopitia ni makubwa.

Ndio maana "nikakwambia mbora wenu ni yule mchamungu" haijalishi rangi, kabila wala uzao.

Kwa kunitajia hivyo maana yake umekubali nilichokwambia.
 
Back
Top Bottom