Ko yeye haitambui biblia, wakati huo huo kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu ni kuwa Issa a.s (yesu) anamtambua muhammad na quran na pia quran inamtambua issa na wengineo miongoni mwa manabii na mitume, na uislamu unalazimisha kumtambua yesu kama alivyoelezewa na quran yenyewe na alivyoelezewa na mtume muhammad (s.a.w) na mwenye kupinga kumtambua yesu atahesabika si muislamu kwa maana atakuwa amemkana mtume wa mwenyezi Mungu na amekikana kitabu chake.
Ukija kudibank usije na porojo, njoo kwa kutulia na tumia maandiko na akili yenye adabu,,,,,!!!