Misri na Israel waanza kupigana Rafah. Askari wa Misri afa

Mkuu mbona unachanganya mada unahusisha watu innocent au dishi limeumba?
Hivi unajua kuwa Misri kuna wakristo na wao ni bora zaidi kuliko wewe na wengineo katika Afrika Hii isipokuwa wa Ethiopia,,,,,,,!!!

Huu ni shida ya kutokujua ukweli basi mmekuwa wazuri kwenye kutoa maoni ya moyoni kuliko mafundisho yanavyosema....

You will remain ignorants as you are not ready to accept reality and truth,,,,,!!!
 
Nimekuwa nikiuliza hapa jukwaani,. Ni kwa nini takribani ya sehemu zote zilizotajwa kwenye biblia hivi sasa zimetawaliwa na population kubwa ya waislamu ukiachana na Israel ya 1945 yenye idadi kubwa ya wayahudi kisha waislamu,,,,,,????

Ukijaribu kujibu jibu kwa akili bila ghadhabu na makasiriko.....,,,!!!!!
 
European union wanaotaka kuwawekea vikwazo israel ni waarabu??
Icc na icj pia onaendeshwa na waarabu ?? Maana wote hao wanalaani vitendo vya kishenzi vya israel ,sasa hapo ndio uone kama wewe ndio bado hujastaarabika au bado hujaelimika, watu waliolimika wanajua kutambua zuri na baya ika kama hadi leo na ukubwa huo hujui kutofautisha zuri na baya ujue una matatizo makubwa sana kichwani kwako, kwa akili hizo sishangai yule mama mchungaji wa mwanza aliyojiita mungu kupata wafuasi ,maana wajinga huwa hamuishi hapa duniani
 

Attachments

  • Screenshot_20240528-235641_Chrome.jpg
    402.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240528-235526_Chrome.jpg
    324.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240528-235215_Chrome.jpg
    401.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240528-235407_Chrome.jpg
    481.2 KB · Views: 3
Hawa ni kama mazombi they cant think
 
Wayahudi watu wahovyo sana, ila asiyeijua israel atakwambia taifa teule bila hata kujua population ya watu anaowasifia ujinga,

The religious affiliation of the Israeli population as of 2022 was 73.6% Jewish, 18.1% Muslim, 1.9% Christian, and 1.6% Druze.
Mnaowaita wakristo angalia hapo
 
Ni bora umewaletea na takwimu, ila bado watapinga,.

Mi nawaomba wakasome hayo maeneo matakatifu yaliyonasibishwa na yesu yako wapi kwa sasa na yanakaliwa na watu wa imani ipi ama race gani(mi nafahamu) na kwa nini,,,???
 
Ooooh kumbe we nikabinti jaman....ok ntarudi
 
Lakini netanyahu si mkristo na anawatuma vijana wake wawabonde wakristo wenzako regardless ni waisrael, wapalestina au wamisri....

Muda mwingine ukiongea tumia akili usitumie mapenzi yasiyo na maono.
Akili zako hazipo sawa! Umeelewa nilichoandika you ignorant fool.
 
Bikira ni 72 sio 70 acha wivu
 
Ni bora umewaletea na takwimu, ila bado watapinga,.

Mi nawaomba wakasome hayo maeneo matakatifu yaliyonasibishwa na yesu yako wapi kwa sasa na yanakaliwa na watu wa imani ipi ama race gani(mi nafahamu) na kwa nini,
Hivi wayahudi wamekaa misri miaka kibao warudi wamtoe mpalestina kizembe kwamba ni sehemu yao,
Leo tufanye kwamba asili ya mswahili ni cameroon, toka mababu zetu wameondoka cameroon miaka kibao huko nyuma, turudi cameroon kudai ardhi nini kitatokea Je, cameroon atakubali ardhi yake ichukuliwe na watu ambao haiwatambui.
 
Huyu rais hata wakiuliwa wanajesha 100 hawez fanya chocho maana amewekwa hapo kimchongo na mayahudi wa. Usa kwa kuilinda israel
Ni mshirika wa siri wa Israel kuichukua Rafah.Bila Misri basi Israel asingesogea pale.
 
Hamas wamejivika sare za wanajeshi wa israel na kuanza kuwauwa wanajeshi wa misri ili kutengneza uhasama na uadui kati ya israel na misri,nani asiyejua uongo na unafiki wa haya magaidi ya kidini.
 
Twende na fact,,,,,!!!

Biblia ilikuwepo wakati wa yesu au baada yake kwa karne kadhaa???
ni kitabu chenye maagano mawili la kale na jipya(injili)ndio unapata BIBLIA.Msituletee maswali ya kipumbavu kama yale ya wapi ukristo dini huku mkijiona waarabu na hamjui hata maana ya dini.
 
Qur'an imetaja mwanamke mbora duniani ni Bi Maryam.mama yake Yesu na wala si mama yake mwenyewe Muhammada s.a.w
Mamane Yesu alikua myahudi pure naye Yesu hivyo hivyo ,sasa chuki dhidi ya wayahudi ambao kimsingi ndio baba wa imani zenu mnaitolea wapu?ttzo nyie ni wapumbafu mudi alijenga uadui na wayahudi baada ya kumkataa na mafundisho yake ya uongo na yakuuunga unga ndio hapo akajenga chuki nao na ninyi mmerithi adui kwa maujinga yenu mapungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…