Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
964
Reaction score
605
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani.

---
Budget: $4.4 billion
Active frontline personnel: 468,500
Tanks: 4,624
Total aircraft: 1,107
Submarines: 4

The Egyptian military is one of the oldest and largest armed forces in the Middle East. It receives substantial financial aid from the US and has the fifth largest tank fleet in the world. It has over 1,000 M1A1 Abrams tanks, many of which sit in storage and have never been used.

Egypt also has a relatively large aircraft force.

12-egypt.jpg
 
Misri ni taifa kubwa la kihistoria.
Mungu wa Yakobo aliwaweza hawa jamaa enzi za Nabii Musa alipolamba jeshi lake lote; farasi wake wote; magari ya deraya yote yakalambwa baharini.
 
Kama silaha zote zinanunuliwa nje ya nchi hamna kitu hapo.
 
Egypt kawapita Italy, German, Turkey, Iran, Saudia, Korea kwa Mr kiduku, Spain, Israel etc. Dunia ya sasa mambo ya kijeshi yamekuwa Siri sana
 
Wamekuwa kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi sana lakini Wananchi walipochoka jeshi halikufua dafu kwenye nguvu ya umma na hivyo wakafanikiwa kumuondoa madarakani dikteta Mubarak.
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani.
View attachment 1641581
 
Tanzania haijawahi Shindwa Vita so hata Tukipigana na Misri kivita historia itatubeba😉 Alikataa tusihamisha Maji ya Ziwa Victoria from Mwanza to Shinyanga and Tabora tukahamisha kibabe japo alijitolea eti kutuchimbia visima vya maji vijijini
 
Ushuzi mtupu
 
Wao lazima wawe tayari kukabiliana na Israeli. Muuza silaha nani hapo?
 
Mungu wa Yakobo aliwaweza hawa jamaa enzi za Nabii Musa alipolamba jeshi lake lote; farasi wake wote; magari ya deraya yote yakalambwa baharini.
Kweli kabisa mkuu. Mkono wa bwana uliwanyoosha vilivyo.
 
Nchi mmoja jina limenitoka wao upande wa Usalama wa kulinda mali na Watu wanakama ifuatavyo.

*Magari ya Washa washa 17,818
*Mabomu ya machozi 5,728,000
*Magari ya zima moto 82
( ila 62sio mazima)

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu wa Yakobo aliwaweza hawa jamaa enzi za Nabii Musa alipolamba jeshi lake lote; farasi wake wote; magari ya deraya yote yakalambwa baharini.
Taari unaanza mahubiri ya uongo tena, Umeshaambiwa Misri ni taifa kubwa linaloongoza kwa nguvu za kijeshi Africa ww unatuletea mambo ya Ethiopia, Ethiopia tuifananize na taifa letu labda yanaweza kuendana
 
Back
Top Bottom