Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

Kwa budget ya $ 4b ya kwenye ulinzi kama ulivyosema , basi haiwezi kuwa ya 9 duniani , ni pesa ndogo sana hiyo..! Sidhani kama Misri inaweza kuingia top 20 military duniani.. Fanya research vizuri..
 
Wamekuwa kwenye nafasi hiyo kwa miaka mingi sana lakini Wananchi walipochoka jeshi halikufua dafu kwenye nguvu ya umma na hivyo wakafanikiwa kumuondoa madarakani dikteta Mubarak.
Hata jeshi nao ni wananchi vile vile hivyo hata na wenyewe walikuwa wamechoshwa na Mubarak.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umenena Mkuu na hapa polisiccm wakiamua kuweka silaha chini na kuungana na Watanzania walioichoka ccm mbona itakuwa raha? Shangwe yake hatujawahi kuiona Nchi hii.
Hata jeshi nao ni wananchi vile vile hivyo hata na wenyewe walikuwa wamechoshwa na Mubarak.
 
Tanzania haijawahi Shindwa Vita so hata Tukipigana na Misri kivita historia itatubeba😉 Alikataa tusihamisha Maji ya Ziwa Victoria from Mwanza to Shinyanga and Tabora tukahamisha kibabe japo alijitolea eti kutuchimbia visima vya maji vijijini
Acheni ushabiki maandazi, Tanzania hana uwezo wa kupambana kijeshi na Misri.

Jeshi la Tanzania lilikuwa zamani enzi za Nyerere lakini hili la sasa limeharibiwa kabisa na siasa za ccm, wanakubali kutumiwa na ccm kuwa sehemu ya hujuma katika uchaguzi. Hawana lolote hawa.
 
Back
Top Bottom