comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Mungu wa Yakobo aliwaweza hawa jamaa enzi za Nabii Musa alipolamba jeshi lake lote; farasi wake wote; magari ya deraya yote yakalambwa baharini.Misri ni taifa kubwa la kihistoria.
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani.
View attachment 1641581
Ushuzi mtupuTanzania haijawahi Shindwa Vita so hata Tukipigana na Misri kivita historia itatubeba😉 Alikataa tusihamisha Maji ya Ziwa Victoria from Mwanza to Shinyanga and Tabora tukahamisha kibabe japo alijitolea eti kutuchimbia visima vya maji vijijini
Kweli kabisa mkuu. Mkono wa bwana uliwanyoosha vilivyo.Mungu wa Yakobo aliwaweza hawa jamaa enzi za Nabii Musa alipolamba jeshi lake lote; farasi wake wote; magari ya deraya yote yakalambwa baharini.
Wameanza kuitisha Ethiopia... Ethiopia namba ngapi? Naona kama propaganda zimeanza.
Taari unaanza mahubiri ya uongo tena, Umeshaambiwa Misri ni taifa kubwa linaloongoza kwa nguvu za kijeshi Africa ww unatuletea mambo ya Ethiopia, Ethiopia tuifananize na taifa letu labda yanaweza kuendanaMungu wa Yakobo aliwaweza hawa jamaa enzi za Nabii Musa alipolamba jeshi lake lote; farasi wake wote; magari ya deraya yote yakalambwa baharini.