Mlianza kusema Israel wamesindwa vita kabla hata havijaanza,Mkasema Israel ikiingia Gaza itakuwa mwisho wao akaja iran akapiga mikwara ya kufa mtu, Vita ikaanza wakadai Israel inaua raia, mkasema Israel anaua Watoto na kina mama, Jeshi lnasogea tu Katikati ya Gaza, Hamas wakaomba PO israel akakubali wakaviimba sana, Mateka wakarejeshwa baadhi mara ghalfa Hamas akaghaili Vita ikaendelea, hali ikawa mbaya Hamas wakaanza kijilipua na kuisingizia Israel, Uongo ukawekwa chonjo, kipigo kikaendelea maandamano na u idiot ukawekwa pembeni, Mkamtafuta South Africa nae akapigwa chini hajui hata ameshitaki nini, Mkadi IDF akiingia Rafah kaisha, vicharii vikatia timu sasa hali imekuwa mbaya kwa upande wenu, mnasema sio Israel huyo... hahahahaha tulieni mliyataka wenyewe.. tuliwaambien achieni Mateka pengine mtapata nafuu ya Netanyahu mmegoma hadi leo