Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wenye mlengo wa kigaidi ndio hufurushwa. Mbona al sisi ni muislam yupo madarakani mpaka leo. Hosni mubarak alitawala zaidi ya miaka 30Tatizo la Misri ni kama lile la Aljeria.Uchaguzi wa kidemokrasia unahimizwa na pindi watu wakiwachagua wenye mrengo wa kiislamu inakuwa nongwa na njama zinaanza kuwaondoa washindi.
nenda Saudi arabia uwaambie wewe ni ndugu yako sababu wote ni WaislamMara nyingi makamanda wakuu wa jeshi la Misri wanakuwa ni wapwa wa Israeli ndio maana wapalestina hawapati nsaada
Wagonjwa akili wengi Sana mitaaniHakutakiwa kutawala kabisa ndio maana walimfurusha mapema.
Mtasubiri sana mpaka mwisho wa dahari. The Jewish State is going nowhere and it's there to stay.Mashariki ya kati itakalika siku ambayo Iran & Saudi Arabia 🇸🇦 watakaporudisha mahusiano ya moja kwa moja ya kidiplomasia. Na huo utakuwa mwisho wa Israel na mashoga zake wanaoteteresha amani ya ukanda ule.
Wasaudia walishasema hao watu weusi wanaojiita waislam ni mambwa wao. Wapagazi wa waarabu.nenda Saudi arabia uwaambie wewe ni ndugu yako sababu wote ni Waislam
Mlianza kusema Israel wamesindwa vita kabla hata havijaanza,Mkasema Israel ikiingia Gaza itakuwa mwisho wao akaja iran akapiga mikwara ya kufa mtu, Vita ikaanza wakadai Israel inaua raia, mkasema Israel anaua Watoto na kina mama, Jeshi lnasogea tu Katikati ya Gaza, Hamas wakaomba PO israel akakubali wakaviimba sana, Mateka wakarejeshwa baadhi mara ghalfa Hamas akaghaili Vita ikaendelea, hali ikawa mbaya Hamas wakaanza kijilipua na kuisingizia Israel, Uongo ukawekwa chonjo, kipigo kikaendelea maandamano na u idiot ukawekwa pembeni, Mkamtafuta South Africa nae akapigwa chini hajui hata ameshitaki nini, Mkadi IDF akiingia Rafah kaisha, vicharii vikatia timu sasa hali imekuwa mbaya kwa upande wenu, mnasema sio Israel huyo... hahahahaha tulieni mliyataka wenyewe.. tuliwaambien achieni Mateka pengine mtapata nafuu ya Netanyahu mmegoma hadi leoVita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
misri hawajaisaidia kabisa Israel na almanusura wapigane hapa majuzi. usichojua ni kwamba, misri walikuwa wanawazuia wapalestina wa gaza wasipitie rafah kwenda misri kwasababu waligundua lengo la israel ni ethnic cleansening, walitaka wawasukumie wapalestina wote waondoke gaza pasiwepo na mwanadamu kabisa ili wao wajenge mji wa kiyahudi wapore ardhi yote kabisa. na walikuwa wanawasukumia Misri, hivyo watu 2m wa kipalestina wangevamia ardhi ya misri na kuweka makazi yao ya kudumu misri hivyo wangekuwa ni wamisri kwasababu wanaishi nchi ya misri kule gaza wasingerudi tena. alifanya vile kuzuia uporaji wa ardhi ya gaza kwasababu ndio lengo wa israel.Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
Israel wasingekuwa wanatoa taarifa bas hamas isingekwepo dunian na wapalestina wangeandamana kuwataka hamas wajiuzuruVita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
unahis Misri wana uchaguz wa haki na wazi kama ulaya?Lini misri ilikua nchi ya kidini mpaka wamisri wachoke!?.. wamisri gani waliomchoka ikiwa alishinda uchaguzi kwa kishindo!?..uwe na fact,siyo unakurupuka Kama uharo
Tumewafahamu jinsi ambavyo hamna ubinadamu.Hata hivyo hamtaweza kutunyamazisha na sisi tukawaabudu nyinyi badala ya Mwenyezi Mungu.Mlianza kusema Israel wamesindwa vita kabla hata havijaanza,Mkasema Israel ikiingia Gaza itakuwa mwisho wao akaja iran akapiga mikwara ya kufa mtu, Vita ikaanza wakadai Israel inaua raia, mkasema Israel anaua Watoto na kina mama, Jeshi lnasogea tu Katikati ya Gaza, Hamas wakaomba PO israel akakubali wakaviimba sana, Mateka wakarejeshwa baadhi mara ghalfa Hamas akaghaili Vita ikaendelea, hali ikawa mbaya Hamas wakaanza kijilipua na kuisingizia Israel, Uongo ukawekwa chonjo, kipigo kikaendelea maandamano na u idiot ukawekwa pembeni, Mkamtafuta South Africa nae akapigwa chini hajui hata ameshitaki nini, Mkadi IDF akiingia Rafah kaisha, vicharii vikatia timu sasa hali imekuwa mbaya kwa upande wenu, mnasema sio Israel huyo... hahahahaha tulieni mliyataka wenyewe.. tuliwaambien achieni Mateka pengine mtapata nafuu ya Netanyahu mmegoma hadi leo
MadrasaBado nchi yako tu sasa kuitaja juu ya msaada wa kivita huko Israel
Na huwenda mpaka Gaza wameisaidia Israel kupigana na Gaza
BoraMorsi hakuwa kipenzi Cha USA na wenzie,maana ni pro Islam na Palestine,alikua Muslim brotherhood,hiyo ni hatari kwa Israel,so jeshi likapora mamlaka
Nani anataka ujinga wa taleban?Hapo Middle East ni nchi gani huwa inaipenda Muslim Brotherhood ya Mursi?
Qatar, Saudia, Egypt, Syria au nani.
Naomba nisaidie link maana naona miziki tuNetnaija ingia movie HD na MB chache
Safi sana... Kumwelekeza mwenza ni jambo la maana...Vibaya hivooo lo watu wanakufa wee unasema acha wanyoshane!
Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
Hii vita ameshindwa mbona kilichomsaidia ni usa na ujerumani vinginevyo ingekuwa aibu ya duniaMlianza kusema Israel wamesindwa vita kabla hata havijaanza,Mkasema Israel ikiingia Gaza itakuwa mwisho wao akaja iran akapiga mikwara ya kufa mtu, Vita ikaanza wakadai Israel inaua raia, mkasema Israel anaua Watoto na kina mama, Jeshi lnasogea tu Katikati ya Gaza, Hamas wakaomba PO israel akakubali wakaviimba sana, Mateka wakarejeshwa baadhi mara ghalfa Hamas akaghaili Vita ikaendelea, hali ikawa mbaya Hamas wakaanza kijilipua na kuisingizia Israel, Uongo ukawekwa chonjo, kipigo kikaendelea maandamano na u idiot ukawekwa pembeni, Mkamtafuta South Africa nae akapigwa chini hajui hata ameshitaki nini, Mkadi IDF akiingia Rafah kaisha, vicharii vikatia timu sasa hali imekuwa mbaya kwa upande wenu, mnasema sio Israel huyo... hahahahaha tulieni mliyataka wenyewe.. tuliwaambien achieni Mateka pengine mtapata nafuu ya Netanyahu mmegoma hadi leo
Israeli kama maji. Usipoweza kupigana nao lazima utaungana nao. Israel ukimuogopa sana lazima uwe upande wake. Sio misri tu hata ISI wanawasaidia isrel.Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
QatarHapo Middle East ni nchi gani huwa inaipenda Muslim Brotherhood ya Mursi?
Qatar, Saudia, Egypt, Syria au nani.