Misri wameisaidia pakubwa Israel kupigana na Hamas. Bila msaada huo pamoja na mataifa makubwa ya Ulaya, Israel ingekimbia vita mapema

Kumbuka waisrael wamewahi kaa utumwani Misri wakaja kutolewa na Musa, wana undugu hao watu
Habari za kufikirika hizo, hakuna kitu kama hicho Marekani ndio anawaongoza waarabu na huamua Nini wafanye. Nchi ambazo zimekataa utawala w Marekani zipo kwenye migogoro
 
Muslim Brotherhood sio chama cha siasa hapo Qatar. Iran kuwa supporter wa ugaidi haimaanishi anakubali magaidi nyumbani kwake kwamba akiwapa silaha Houthi anawaambia walipue meli zake mwenyewe na bandari zake.
 
Egypt anajua kichapo alichopewa na Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…