Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

I demand His Excellency President Trump to force Israel to abide by the partition resolution issued by the UN and withdraw from all Palestinian territories that it occupied after the resolution was issued and adopt the two-state solution to live peace in peace.
Waarabu hawataki hiyo. Wanasema muwa Mungu wao atawaangamiza Wayahudi wote, na wao Waarabu wataichukua Israel yote.

Walikataa mwaka 1947, walikataa mwaka 1956, walikataa mwaka 1994.

Walipewa favour mwaka 1947, licha ya ukweli kuwa wapalestina hawajawahi kuwa part of either Israel or Judah Empire. Bahati hairudi mara 2. Kwa sasa wapalestina wangeachana na vitendo vya kigaidi, kwa diplomacy angalao wamgeweza kupewa W. Bank na Gaza, ikawa Taifa kamili. Lakini kwa namna hawa watu wanavyoiishi ile baraka ya Baba yao huyo Ismail, "You will live by your Sword", wataishia kupigana na kuuana wao kwa wao.

Waarabu vita na kuuana ndiyo fahari yao. Angalia hata huko walikopandikiza tabia zao, kama huko Somalia, Mali, Nigeria, jinsi watu wanavyouana.
 
Trump siyo mtu mzuri.
 
Umesahu haya Mauaji pia Waarabu walihusika

Rwandan genocide,

Bosnian genocide

Cambodian genocide

East Timor genocide

Romani Holocaust

Armenian genocide

Circassian genocide

Moriori genocide

Taíno genocide

Kwa uchache tu haya….

Wewe hujui kitu zaidi ya chuki dhidi ya Waarabu na Waislam kuna mauaji makubwa duniani kama waliofanya wazungu?
 
Hamas: 'Taarifa kwa vyombo vya habari Kujibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump na wito wake wa kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza hadi Misri na Jordan; Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunathibitisha yafuatayo: Watu wetu wa Palestina, ambao walisimama kidete kukabiliana na vitendo viovu zaidi vya mauaji ya kimbari katika zama hizi, ambavyo vilifanywa dhidi yao na jeshi la utawala ghasibu la Kizayuni, na wakakataa kusalimu amri. kwa uhalifu wa kulazimishwa kuhama makazi yao, haswa katika Ukanda wa Kaskazini wa Gaza; kukataa kabisa mipango yoyote ya kuwafukuza na kuwafukuza kutoka kwa ardhi yao. Tunatoa wito kwa utawala wa Marekani kuacha mapendekezo haya ambayo yanaendana na mipango ya Israel na yanagongana na haki na hiari ya watu wetu, na badala yake kufanya kazi ili kuwawezesha watu wetu wa Palestina kupata uhuru wao na kuanzisha nchi yao huru na Jerusalem. kama mji mkuu wake, na kuelekeza shinikizo kwa uvamizi wa uhalifu ili kuharakisha taratibu za kujenga upya kile kilichoharibu wakati wa vita vyake vya kikatili kwenye Ukanda wa Gaza, na kurejesha maisha huko katika hali ya kawaida. Pia tunatoa wito kwa nchi za Kiarabu na Kiislamu, hasa ndugu zetu wa Misri na Jordan; Kusisitiza misimamo yao madhubuti katika kukataa kufukuzwa na kufukuzwa, kutoa njia zote za msaada na usaidizi kwa watu wetu, kuimarisha uthabiti wao na uvumilivu katika ardhi yao, na kufanya kazi kutoa kila kitu kinachohitajika ili kuondoa athari za uchokozi wa kifashisti ambao Ukanda wa Gaza. alifanyiwa.'
SAFI SANA MUNGU ATASIMAMA NANYI kwamajina yoyote lkn mungu yupo pamoja nanyi pamoja na wanaozurumiwa popote Duniani
Tramp ni kopo tupu ana uwezo wowote kuwaamisha wapalestina mwenyewe ataomba pooooo
Dunia itaungana na Palestina kupita wakati wowote aujuao yeye iyo Marekani yenyewe kutokea WIMBI ZITO la maandamano atoamini macho yake
mlokole kizeeee kile!!!!!.. naisi kwanza anapima kina cha maji Palestina atakwama na kuondoka IKULU kwa aibu kubwa.
Kwasasa kaacha mikwara kuusu IRAN! BAADA Y KUPEWA KIPONDO KULE IRAQ Naaminii uyu mlokole ana kitu anapiga story anazo OTA usiku
aje kwenye vitendo tu. Atajua mziki wa Palestina Wimbi ili kubwa litamsomba yeye kabla kumaliza miaka4 Naamin Dunia ya kislamu itaungana n Iran watachapwa mpaka Vibalaka wao mashariki ya kati, watajutia kuchagua lokole zeee !!!!!!!
 
Waarabu hawataki hiyo. Wanasema muwa Mungu wao atawaangamiza Wayahudi wote, na wao Waarabu wataichukua Israel yote.

Walikataa mwaka 1947, walikataa mwaka 1956, walikataa mwaka 1994.

Walipewa favour mwaka 1947, licha ya ukweli kuwa wapalestina hawajawahi kuwa part of either Israel or Judah Empire. Bahati hairudi mara 2. Kwa sasa wapalestina wangeachana na vitendo vya kigaidi, kwa diplomacy angalao wamgeweza kupewa W. Bank na Gaza, ikawa Taifa kamili. Lakini kwa namna hawa watu wanavyoiishi ile baraka ya Baba yao huyo Ismail, "You will live by your Sword", wataishia kupigana na kuuana wao kwa wao.

Waarabu vita na kuuana ndiyo fahari yao. Angalia hata huko walikopandikiza tabia zao, kama huko Somalia, Mali, Nigeria, jinsi watu wanavyouana.
Hii story yako zilipedwa endelea kutoa Sadaka kwa mchungaji wako kwa kukupanda ushuzi kichwani kwako

mungu akupe uhai utashuhudia kwamachoyako mashoga wakikimbia ktk ardhi ya Palestina Yote sio nusu! Kwasasa technology
ipo nyumbani Apo IRAN Wazungu kwishaaa habari yao IRAN anajipigia tu leo meli kesho kambi ya Marekani keshokutwa kambi ipo Telaviv
hiii ni dhihilisho la wana history ya Dunia kuwa Dunia ni round na mahari ujuzi yani elimu technology uhama kutoka round moja kwenda nyengine kutokana na CIRCLE mzunguko
So watakimbia na ch p!!! Mkononi!!! Wachungaji wale Sadaka mwisho mwisho kuusu Israel ya sasa. Naamini Watapata Slogan nyengine!!!! Lkn sio Israel ,
 
Hamas: 'Taarifa kwa vyombo vya habari Kujibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump na wito wake wa kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza hadi Misri na Jordan; Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunathibitisha yafuatayo: Watu wetu wa Palestina, ambao walisimama kidete kukabiliana na vitendo viovu zaidi vya mauaji ya kimbari katika zama hizi, ambavyo vilifanywa dhidi yao na jeshi la utawala ghasibu la Kizayuni, na wakakataa kusalimu amri. kwa uhalifu wa kulazimishwa kuhama makazi yao, haswa katika Ukanda wa Kaskazini wa Gaza; kukataa kabisa mipango yoyote ya kuwafukuza na kuwafukuza kutoka kwa ardhi yao. Tunatoa wito kwa utawala wa Marekani kuacha mapendekezo haya ambayo yanaendana na mipango ya Israel na yanagongana na haki na hiari ya watu wetu, na badala yake kufanya kazi ili kuwawezesha watu wetu wa Palestina kupata uhuru wao na kuanzisha nchi yao huru na Jerusalem. kama mji mkuu wake, na kuelekeza shinikizo kwa uvamizi wa uhalifu ili kuharakisha taratibu za kujenga upya kile kilichoharibu wakati wa vita vyake vya kikatili kwenye Ukanda wa Gaza, na kurejesha maisha huko katika hali ya kawaida. Pia tunatoa wito kwa nchi za Kiarabu na Kiislamu, hasa ndugu zetu wa Misri na Jordan; Kusisitiza misimamo yao madhubuti katika kukataa kufukuzwa na kufukuzwa, kutoa njia zote za msaada na usaidizi kwa watu wetu, kuimarisha uthabiti wao na uvumilivu katika ardhi yao, na kufanya kazi kutoa kila kitu kinachohitajika ili kuondoa athari za uchokozi wa kifashisti ambao Ukanda wa Gaza. alifanyiwa.'
Hujamalizia mwishoni KNY
 
Back
Top Bottom