FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unaupenda Uislam eeh?Sasa tusikusikie ukipiga kelele Ufaransa inapojiamulia kukataza Abaya mashuleni.
Au Abaya nayo umeandikwa kwenye Quran?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaupenda Uislam eeh?Sasa tusikusikie ukipiga kelele Ufaransa inapojiamulia kukataza Abaya mashuleni.
Au Abaya nayo umeandikwa kwenye Quran?
Matatoana damu watoto wa mnyaaazi.Inatakiwa hijabu hilo ya uso mzima ni maamuzi ya mtu hata sanamu la maria limevaa hiyo hijabu.
Ishu ni pale kuficha uso mzima kutumia kinyume na misingi ya kiislamu kama kufanya ugaidi ..
Hili jambo la kukataza Niqab lingefanywa na nchi kama Uingereza, Denmark au Ufaransa mngekuja kulia lia sana hapa na kusema mnaonewa.Wewe ndio mjinga namba ,vazi la kujifunika uso mzima sio hijabu ni vitu viwli tofauti ma wanachofanya hapo ni kuepuka watu wanaotukia vibaya.
Wapo wakristo wanavaa na kufanya ujambazi ,mauaji hata uwizi hata waislamu pia wanvaa wengine sio kama kinga ya kujistri ila wanafanya ujinga ..
Hwajazuia hijab ni vazi hilo ,kuwa na akili kwamba watu waruhusiwe kuvaa nusu uchi kabisa na wewe unakubali.?
Ufaransa imepiga marufuku Abaya. Misri imepiga marufuku Niqab.Unaupenda Uislam eeh?
Jamani kwani sunnah ni lazima ,watu wakitoka kwenda mtoko wanavaa ila sio lazima ...Ndio uzuri wa uislamu😂😂Matatoana damu watoto wa mnyaaazi.
Leo hii mnawaponda kobazi wenzenu answari sunna wanaofunika uso mzima!!!
Hahahaha
Sasa kama sio lazima kwa nini mnalia lia pale Ufaransa anapopiga marufuku haya mavazi yenu kwenye Nchi yao?Jamani kwani sunnah ni lazima ,watu wakitoka kwenda mtoko wanavaa ila sio lazima ...Ndio uzuri wa uislamu[emoji23][emoji23]
Yaani Misri wakataze Niqab halafu mimi niumie [emoji1787][emoji1787]
Wanaoumia ni nyie waja wa mnyaaazi... Ila kwa Sababu ni Misri ndiye kafanya mnalia machozi ya kimya kimya tu.
Misri wameendelea kuthibitisha fact, kuwa hii imani ya kobazi ina mambo ambayo hayaendani na dunia hii ya sasa.
Barakoa sio Niqab bibi.Corona aliwavalisha niqab mkitaka msitake. Bado unavaa niqab?
Unapanikigi vibaya sana. Hii mada haihusu Ukristo.Kama israel wamekataa ukristo kwa nn usiumie!?[emoji23][emoji23][emoji23]
yaani taifa mnaloita takatifu mpaka bender zake mmeweka kanisani leo linakataa na wala halina wakristo wengi na bible wanasema ni utapeli [emoji23].
Sasa kama sio lazima kwa nini mnalia lia pale Ufaransa anapopiga marufuku haya mavazi yenu kwenye Nchi yao?
Misri naye kafuata nyayo za Ufaransa... Lieni tena na hapa.
#HABARI Uamuzi wa Wizara ya Elimu nchini Misri kutangaza marufuku ya kuvaa vazi la uso (Niqab) katika shule za serikali na binafsi umezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na kushutumiwa vikali huku uamuzi huo ukitajwa kuingilia masuala binafsi.
Wengi ambao hawakubaliani na marufuku hiyo wanadai serikali haikutoa uhalali wowote na kwamba ni wachache tu wenye itikadi kali ambao wataathirika na uamuzi huo.
Uamuzi huo ulitangazwa katika gazeti la serikali la Akhbar al-Youm na unajumuisha Niqab ambalo ni vazi jeusi la kiisalmu ambalo huacha tu sehemu ya macho kuonekana na huvaliwa na wanawake wachache nchini Misri.
=====
Egypt's Ministry of Education has banned the wearing of full-face veils in public and public schools, a decision that sparked debate on Tuesday on social networks in the country's most populous Arab country.
On Monday, the government newspaper Akhbar al-Youm published the new decree on school uniforms, which bans primary and secondary school pupils from "covering their faces".
The decree states that the headscarf is "optional", depending on "the wishes of the pupil, without pressure or coercion from anyone other than the legal guardian, who must be informed of this choice".
While the majority of Egyptian women wear the headscarf, the niqab remains in the minority in this overwhelmingly Muslim country.
"People are angry because the government has given no justification, it's a tyrannical decision that invades privacy", Mohammed reacted on X (ex-Twitter).
"No one is angry except supporters of the Taliban and the Islamic State (EI)," retorted al-Masri on the same network.
Ahmed Moussa, a talk-show host and fervent supporter of Abdel Fattah al-Sissi's regime, hailed "an important first step towards destroying extremism and correcting the situation in education, which has become a hideout for Muslim Brotherhood terrorist groups".
Since Mr Sissi deposed President Mohamed Morsi - a member of the Muslim Brotherhood - in 2013, the Brotherhood, which has been declared a "terrorist" organisation, has been banned and its members and leaders have been killed in their hundreds and imprisoned in their thousands.
For Internet users, however, the problem of education in a country of 105 million inhabitants crushed by inflation and public debt lies elsewhere."Is the niqab responsible for overcrowded classrooms, dilapidated equipment and teachers' difficulties?" asked another user ironically.
At the end of 2015, Cairo University, one of Egypt's oldest and most prestigious universities, banned its female lecturers from wearing the niqab, a decision upheld in 2020 by a Cairo administrative court.
The strictest form of the Islamic veil, the niqab is generally black, revealing only the eyes through a slit.
Unapigwa vita na nani kwani misri sio waislamuUislamu unapigwa vita sana lakini hawatashinda
Unajua maana ya niqad mfuasi wa paulo?Barakoa sio Niqab bibi.
Juzi mlikuwa mnailaani Ufaransa... vipi na leo mtailaani tena na Misri au hii mtaipotezea?
View attachment 2749267
Nan kalia[emoji23][emoji23]?
Uislamu unakuwa kwa kasi ya ajabu mno kama isingekuwa dini ya Mungu basi ingetoweka kabisa maana unapingwa vita na mataifa makubwa duniani ila wapo ,hayo mataifa ndio sasa uislamu unasambaa .
Waislamu watavaa hijabu na kuwa na stara maisha ,nyie waenda disc viongozi wenu wanalia kila siku mnavaa hovyo[emoji23][emoji23]roho zinawauma hata wewe.
Wewe binafsi hupendi kuona dada ako kavaa kama malaya anayejiuza roho inakuuma ila ukiangalia uislamu uko safi na wanapendeza.[emoji23][emoji23]
Hamna muislamu kaumia😂😂hijabu ipo pale pale wangeanza kuzuia huko vatican ila pia wanavaa hijabu.Pole sana kwa maumivu
Misri amejua sana kuwaweza... mmebaki kulia machozi ya samaki tu.
Zile kelele zenu kwa Ufaransa sasa kimyaaaaaaaaaaaa.
No Niqab in School when you are in Egypt. Hutaki, hamia Afghanistan au Iran ukavalie huko.
Kama waliweza kupenyeza kombe la dunia Qatar basi hakuna kitakacho washindaUislamu unapigwa vita sana lakini hawatashinda
Duuuuh! sikuwa nalifahamu hili. Sijui ni wayahudi wangapi wamekuwa na wanaendelea kuwa maraisi katika nchi mbalimbali ukiachana na Zelensky wa Ukraine.What's the reason behind this?
Kama ni usalama labda maana Egypt matukio yao sio ya kawaida
Anwar Sadat mwaka 1981 aliuwawa na mjeda
Lakini kama ni sababu zingine za kisiasa basi ni kosa kuingilia
Al Sisi ni myahudi sasa sijui kutatokea nini
Uislamu unapigwa vita sana lakini hawatashinda
Kuna mwanasheria alivaa niqab mahakamaniMwl kujua ni mwanafunzi gani anahitaji msaada zaidi ili aelewe kile mwl anachokusudia ni kazi ngumu maana hata haoni sura ya mwanafunzi usoni kujua kama anafuatila kile kinachofundishwa ni shida Ile dhana ya facial expression mwl hawezi ona
Abdulfatah Al Sisi baba yake ni Egyptian lakini alimuoa mwanamke mmorocco mwenye asili ya uyahudiDuuuuh! sikuwa nalifahamu hili. Sijui ni wayahudi wangapi wamekuwa na wanaendelea kuwa maraisi katika nchi mbalimbali ukiachana na Zelensky wa Ukraine.
Hawa Wahhabi ni Janga la Dunia hiiKwa hiyo serikali ya Misri inapiga vita uislam, poor you...