Kamasi na Waarabu wa Gaza, huenda wakatimiza kilichowatokea Wafilisti wa Enzi hizo. Waislamu wakiambiwa kuwa jamii na viongozi wote wa zamani waliokuwa wamekamia kuwaangamiza wayahudi walipotelea mbali wao hawaamini. Hata Hitler na Makomanda wake kwa dhamira yao ya kuwafutilia mbali wayahudi walifanya utimie kwao unabii wa Queen Esther (kitabu cha biblia cha Esther 9:7-14). Na walifutiliwa mbali.Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready to temporarily host half a million Gazans who would be evacuated from the Gaza Strip, according to a Friday report by Hezbollah-affiliated Lebanese newspaper Al-Akhbar.
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.
The comment reportedly came during a conference held in Riyadh, Saudi Arabia, on the situation in the Middle East, in which the Egyptian leader was present, among other attendees.
Abdel Fattah El-Sisi says Egypt ready to absorb half a million Gazans | The Jerusalem Post
According to the report, the Gazans would be allocated a city in the North of the Sinai Peninsula.www.jpost.com
Au Msomera.wakazi wa Dar watapelekwa hata Kigoma.
Kwa Tanzania bara hapana, labda visiwani Zanzibar.Marekani hawajajua tu kuhusu TZ na ukarimu wa mama.
Wakiongea nae vizuri atawapa hata Dar yote hii wapalestina na wakazi wa Dar watapelekwa hata Kigoma.
Kina Trump wajue tu jinsi ya kuongea Bi. Mdashi.
Waende kwa waislamu wenzao huko!!Kwa Tanzania bara hapana, labda visiwani Zanzibar.
Hao watabaki kwao hukohuko mileleWaende kwa waislamu wenzao huko!!
Hivi hili bara lina laana gani? Misri ina hadi mafuta, na yenyewe inajiendesha kwa misaada? π’ πMisri ni Nchi pekee ambayo haijakatiwa misaada naona imepigwa mikwara ya kwamba isipotii amri ya US misaada itafyekwa.
kosa la Misri ni lipi ? walipowafungia mpaka mlisema ni vibaraka ww Israel leo wamefungua mnawalaumu piaHivi hili bara lina laana gani? Misri ina hadi mafuta, na yenyewe inajiendesha kwa misaada? π’ π
Mkuu; mbona hivo? Sehemu gani nimeilaumu Misri kuhusu Wapalestina? Nimeuliza, why na Misri nayo inategemea misaada kujiendesha? Nime mnukuu aliyesema kuhusu misaada kukatwa na Trumpkosa la Misri ni lipi ? walipowafungia mpaka mlisema ni vibaraka ww Israel leo wamefungua mnawalaumu pia
Lugha ya uandishi wa magazeti uliwahi kujifunza kiasi mkuu?Mbele wameeleza kama Al-Sis ata(nge)warudisha wapi?Tatizo ni kingereza ndo kimekupiga chenga, soma tena.π
Misri hawezi kukataa wala kuwarudisha tena wapalestina Gaza.Tatizo ni kingereza ndo kimekupiga chenga, soma tena.π
Si ndugu zenu katika ImaniHao watabaki kwao hukohuko milele
Subiri umauti ukukute ndio utacheka vizuri, so endelea kuwashobokea hao mnaamini taifa teuleKamasi na Waarabu wa Gaza, huenda wakatimiza kilichowatokea Wafilisti wa Enzi hizo. Waislamu wakiambiwa kuwa jamii na viongozi wote wa zamani waliokuwa wamekamia kuwaangamiza wayahudi walipotelea mbali wao hawaamini. Hata Hitler na Makomanda wake kwa dhamira yao ya kuwafutilia mbali wayahudi walifanya utimie kwao unabii wa Queen Esther (kitabu cha biblia cha Esther 9:7-14). Na walifutiliwa mbali.