Misri yakubali kuchukua Wapalestina 500,000 sasa bado Somalia na kwingine

Kuna nchi zinapenda kujipendekeza au hela,hii inanikumbusha ile issue ya kagame,kukubali waamiaji toka Libya walio uingereza eti waende rwanda!!!, Sijui iliyeyukia wapi hiyo issue.
 
Wawaokoe wanaotaka kuokoa maisha yao. Kuishi pamoja na magaidi wanaokulazimisha uishi nao ili wewe itumike kama kinga wanapotafutwa ni hatari kubwa.

Magaidi ya Hamas yakichimba mtaro chini ya nyumva yako, ukaamua kuhama, yanakuua.
Naunga mkono hoja.
 
Jamani, inawezekana kwenye Biblia ilivyoandikwa wana wa Israel walipokuwa wakimuudhi Mwenyezi Mungu alikuwa anawapa adhabi ya kwenda uhamishoni, inawezekana sasa hao Wapalestina ndio wana wa Israel, mana tunaenda kushuhudia wakipelekwa uhamishoni
 
Miongoni mwa Wapalestina kuna damu ya Yakobo. Wengi wao leo wana identity ya kipalestina kwa sababu walibadili dini na kuwa wakiristo na baadae waislamu wakaadopt culture ya kiarabu.
 
Safi sana
 
Wakati wanasogezwa karibu na kunya land
 
Lakini sio jamabo jema kwa Wapalestina, kuondolewa kwenye ardhi yao na kupelekwa uhamishoni.

Hili jambo nilidhani utani kumbe Wazungu wako serious.

Jambo jema sana, waarabu wanaanza kusaidiana sasa.
 
Lakini sio jamabo jema kwa Wapalestina, kuondolewa kwenye ardhi yao na kupelekwa uhamishoni.

Hili jambo nilidhani utani kumbe Wazungu wako serious.

Jambo jema sana, waarabu wanaanza kusaidiana sasa.

Mpango wa Israel siyo kuishia kuchukua ardhi ya Wapalestina tu. Mpango wao ni ile wanayoita nchi ya Ahadi, Eneo lote kuanzia mto Nile Misri mpaka mto Euphrates Iraq.

Na wakichukua mto NILE mjue Ziwa Victoria ambalo ndiyo source kubwa ya mto nile Watalicontrol kibabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…