View: https://x.com/shqassem_eng/status/1894367812841357787/photo/1
Mpaka leo Hili swali halijapata Jibu ndani ya miezi 2 Israel iliwaua viongozi wote Muhimu wa Juu wa Hezbollah ni nani aliwauza.
Tangu Israel iwavamie Wapalestina Gaza awamu hii, Hezbollah imerusha Makombora chini ya 20, Wakati wa Nasrallah ilirusha makombora zaidi ya 7000