Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.

Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.

Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.

My Take: Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.

Kenya amekataa kusaini makubaliano Kwa Ajili ni kibaraka wa Wazungu

View: https://youtu.be/lTfbnjDqwI8?si=I7T7jRS8OgnxloFD

Pia soma Egypt imepinga vikali makubaliano ya usimamizi wa Mto Nile

Soma zaidi hapa Tume ya Ushirikiano wa Bonde la Mto Nile kuzinduliwa. Egypt inapinga ikidai haki zake za kikoloni zimekiukwa

==============

River-nile.JPG

This agreement outlines the principles, rights, and obligations related to the management and development of the Nile Basin.

The Turkish media reported on Monday, October 14, that the Nile Basin Cooperative Framework Agreement (CFA) officially came into force on Sunday, October 13.

Egypt and Sudan have so far rejected the agreement while the CFA has been signed by upstream countries, including Ethiopia, Rwanda, South Sudan, Uganda, Tanzania, and the Democratic Republic of Congo.

Egyptian Irrigation Minister Hani Sewilam called on Nile Basin countries to reevaluate water agreements during a water event in Cairo on Monday, October 14.

“We call on the Nile Basin countries that signed the Entebbe Agreement to review their position and return once again to discuss cooperation between countries in a way that does not harm any of the riparian countries,” Irrigation Minister Hani Sewilam said at a water event in Cairo.

“Egypt’s position is fair and consistent with international river agreements enforced internationally,” he added.
The Egyptian minister stressed that the discussions “must include all countries and don’t exclude the interests of one country over another.”

Sewilam said Egypt’s water supply does not suffice the country’s needs. “Egypt will not concede even a single cubic metre of Nile water and firmly rejects the Entebbe Agreement in its current form,” he stressed.

Egyptian President Abdel Fattah Al-Sisi said early yesterday that preserving Egypt’s water resources is an “existential issue”.

“The Nile River is the primary source of water for Egypt, accounting for over 98%” of its water supply, he added.
The CFA represents the first multilateral effort by the Nile Basin states to create a legal and institutional framework to govern the use and management of the river.

The Nile River has been a source of tension, especially between Egypt and Ethiopia, as the latter began construction of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) on the Blue Nile, a major tributary of the Nile River.
Ethiopia views the dam as essential for its economic development and insists it poses no threat to downstream water supplies.

Egypt views the GERD as an existential threat to its water share from the Nile and demands a binding agreement on the dam’s filling and operation.

View: https://youtu.be/9R0JbWf5QKs?si=4D57BUIoS4tsSIji
 
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la maji ya mto Nile ni jambo la Kufa na kupona Kwa Wamisri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.

Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.

Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.
View attachment 3126444View attachment 3126445

My Take
Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.
Huo mkwara anaupiga Tanzania Uganda na Kenya mbona Ethiopia amepunguza kwa 20% hayo maji hajaleta vita.
 
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la maji ya mto Nile ni jambo la Kufa na kupona Kwa Wamisri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.

Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.

Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.
View attachment 3126444View attachment 3126445

My Take
Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.
Nyamafu zao, Wanampiga Mkwara nani? Hao wanajipiga Mkwara wenyewe.
Au tukaanze kuwashughulikia waleu watu wao makasusi waishio Mwanza, Bukoba na Musoma ambao kazi yao bi kufuatilia mwenendo za shughuli zite zinaxifanyika katika mikoa inayozunguka Ziwa victoria, pia kufuatilia kina cha maji na kupeleka taarifa nchi mwao?
 
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la maji ya mto Nile ni jambo la Kufa na kupona Kwa Wamisri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.

Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.

Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.
View attachment 3126444View attachment 3126445

My Take
Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.

Kenya amekataa kusaini makubaliano Kwa Ajili ni kibaraka wa Wazungu
sidhani kama sisi tunausika sana maana sisi ni sehemu y ziwa ambalo ndio chanzo cha huo mto.
 
Egypt inaona hizi nchi za ukanda huu wa EA kama pimbi tu.

Ndipo tutambue tunadharaulika mno, Egypt inaweza kutwanga hii EA yote.
Tanzania hatuna project za kutumia hayo maji bado tumelala, hata siasa za ndani bado nichangamoto hazija leta umoja wa wananchi...... hatuwezi kupinga misiri kwa ajili ya maji.
 
Tuko tunazisuka
1.Irrigation farming ya Bonde kubwa huko Mto Mara

2.Kutoa maji kutoka Mwanza Hadi Dodoma for Irrigation
 
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.

Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.

Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.
View attachment 3126444View attachment 3126445

My Take
Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.

Kenya amekataa kusaini makubaliano Kwa Ajili ni kibaraka wa Wazungu
Waliwapiga mkwara wa Ethiopia 🇪🇹 mbona hawakuwafanya kitu.
 
Back
Top Bottom