imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Acha kushoboka, hawawezi kupigana na Ethiopia Sudan Kenya Tanzania Rwanda na Uganda NEVER! Na sasa South Sudan inataka kujenga HydroDams mbili kwenye Mto Nile.Mkuu wanatutwanga wale jamaa.
Egypt ni taifa kubwa kijeshi, kiuchumi hata kiteknolojia.
Hadi wamerusha satellite si mara moja, walishaingia kwenye migogoro ya kidunia huko mashariki ya kati utalinganisha na sisi.
Na akisema atengeneze Proxy kwenye Nchi zetu sio kwamba Abdelfatah Sisi anapendwa na Wananchi wa Misri kwa sababu ni Dikteta na sisi tutawapiga tafu wale aliowapindua kutoka Madarakani.