ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #81
Kwa taarifa yake Egypt ni kwamba maji tunayasambaza Mikoa yote mikame na hivi punde yataingia Dodoma.Sio Nyerere pekee, nchi za Africa zilikuwa na umoja kupinga ukoloni.
Zilikuwa ni nyakati za muamsho na vuguvugu la kupinga ukoloni.
Radio ziliandaa vipindi kuhusu ukoloni, shuleni wanafunzi waliimba nyimbo kupinga makaburu, wanafunzi walifundishwa kuchukia makaburu.
Hata watunzi wa vitavu vya miaka hio waliandika tunzi kuhusu kupambana na makaburu.
Watu walikuwa wazalendo.
Hayo mambo leo hayapo, ndio maana nasema nchi zetu hizi huku EA , muarabu atatutandika vibaya sana na hadi tutaomba msamaha.
Mi naongea ukweli.
Baadae tunakuja na miradi ya irrigation atake asitake 👇👇
View: https://x.com/AnnaSarungi/status/1846463640301408392?t=yG14RE2cJu2PvSI-xRkXXg&s=19