Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Achana na Ethiopia kwanza, kwanza kabla ya kuzungumzia washirika wako kijeshi jiangalie wewe.

Huo uwezo mnao, au ndio bado siasa za matundu ya choo na maji safi.

Ethiopia haina uwezo kupambana na Egypt..

Egypt hao wana complex air defense command and control system.

Wana kiwanda kama Fakr kinazalisha silaha na missiles za masafa, anti tank n.k...

Wana developed missiles program, nyie Tanzania hata bomu la mafuta ya petrol mnatengeneza?



Wana ndege vita za kutosha kama rafale na F 16, nyie mtapeleka mikangafu yenu ya kichina ya 1960s ile inapita siku za maadhimisho😂😂

Mtapigwa mchakae...
Egypt kijeshi haina tofauti sana na nchi iliyopo nazo kikanda kama Israel, sasa jidanganye.
Hehe kwani kaburu alichakazwa tukiwa na matundu ya choo mangapi......huyo Gadaffi aliweka pua yake hapo Uganda tukiwa na matundu ya choo mangapi ?? Mbona kwa sasa tuna matundu ya choo mengi kuliko wakati ule halafu tutishike na mwarabu???
Nyie bakini enzi za wakina tiptip kama zinawafariji kwa hali zenu
 
Egypt pia bado wanatumia vyoo vya matundu tembea uone.
Ka nchi kenyewe kameendelea zile sehem zenye mto tu ukitoa hapo hamna kitu......kwahio alete shobo ,,,,huhangaiki kupiga makombora sehem kuubwa we unafata tu ule mto umemaliza kila kitu.......
 
Ka nchi kenyewe kameendelea zile sehem zenye mto tu ukitoa hapo hamna kitu......kwahio alete shobo ,,,,huhangaiki kupiga makombora sehem kuubwa we unafata tu ule mto umemaliza kila kitu.......
Wamisri wengi Wakulima wanaitwa Falahiin ni masikini wa kutupwa wengi hujisaidia Mtoni Nile.
 
Vifaa kenya anavyo vingi kuliko nchi yeyote ukanda wa afrika mashariki ila akiingia mzigoni hata na wanamgambo tu anatolewa kamasi,,,,,,,,vita ni vifaa na discipline we jaza mavifaa kama jeshi lako mbinu linazidiwa utatoka patupu,,,,,Italy alivamia Ethiopia akiwa na vifaa na wanajeshi wa kisasa kuliko Ethiopia na akachezea kichapo
Kenya ina jeshi gani la anga la maana hata la kitisha Tz?
Ungekuwa unaongelea vita ya ardhini ningekuelewa lakini kwa upande wa jeshi la anga hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara yenye jeshi la maana la anga Misri ina jeshi kubwa la anga kuzizidi hata Uturuki na Israel.
 
Wamisri wengi Wakulima wanaitwa Falahiin ni masikini wa kutupwa wengi hujisaidia Mtoni Nile.
Hata India kuna raia wanajisaidia mitaroni masikini wakutupwa, lakini si nchi ya kushindana nao kijeshi, kiuchumi na kila kitu.
 
Wanatukana wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo
Politically Egypt haiko Stable na sasa nasikia inauchochea Mgogoro wa Ethopia ngoja kidogo tu. Unaweza kuona Rebel group ndani ya Misri.
 
Mzee Lowasa ndio alikua Mtanzania wa kwanza kumsikia akiupinga huo mkataba na baadae wakatumia maji ya ziwa Victoria kusambaza huko Shinyanga sijui kama bado wanaendelea na ile mambo au wapo na Mkoloni maji yapo Tanzania harafu tunaambiwa tusitumie hata kunywa si upuuzi huo..
 
Misri hana Resources za kuleta Wanajeshi na Vifaru kwenye Pwani yetu juzi juzi amewasaidia silaha Somalia na karibia zote zimetekwa na Magaidi ya Alshababu ikiwemo Helicopter.
Misri hawezi kuleta wanajeshi wa ardhi kwa sababu hana shida na ardhi ya nchi yeyote ile atakacho kufanya ni kuwapiga kutoka angani ili wengine waufyate.
 
Hata India kuna raia wanajisaidia mitaroni masikini wakutupwa, lakini si nchi ya kushindana nao kijeshi, kiuchumi na kila kitu.
Wewe ndio umrleta Story ya vyoo vyetu vya matundu India imepigana Vita na jirani yake na ikaonyesha uwezo katika Battlefield.

Misri na Nchi za Waarabu wenzake zilishindwa vibaya sana na Israel ni Vita gani Misri iliwahi kushinda?!

Sisi Tanzania tulishinda Vita vya Uganda na kuteka Askari wengi wa Kiarabu kutoka Libya.
 
Waache ushamba, hadi leo zama za technolojia mnategemea vimaji vya mto tena unaotoka maelfu ya Kilometer.
Wanatakiwa wawe wabunifu kutafuta vyanzo vya ziada. Mbona mafarao walikuwa na akili nyingi sana
muwe mnajifunza. mafarao hawakua waarabu. waarabu ni wavamizi/wahamiaji Kaskazini ya Afrika.
 
Misri hawezi kuleta wanajeshi wa ardhi kwa sababu hana shida na ardhi ya nchi yeyote ile atakacho kufanya ni kuwapiga kutoka angani ili wengine waufyate.
Hawezi hana huo uwezo angelikuwa na huo uwezo angeigia Tel Aviv siku nyingi sana.
 
Kenya ina jeshi gani la anga la maana hata la kitisha Tz?
Ungekuwa unaongelea vita ya ardhini ningekuelewa lakini kwa upande wa jeshi la anga hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara yenye jeshi la maana la anga Misri ina jeshi kubwa la anga kuzizidi hata Uturuki na Israel.
Egypt ni miongoni mwa nchi 15 duniani zenye air force bora kabisa, kwa middle east anazidi nchi zote kwa air force ikiwemo Israel.

Egypt mwaka huu 2024 ni nchi ya 15 kwa nguvu za kijeshi duniani.

Egypt wana helicopter carriers , wana F16s za kutosha , Mig 29s, Rafale, alpha jets n.k na air bases zipatazo 20...

Waache wajidanganye eti mtu anakuambia Ethiopia...

Wana viwanda kuzalisha missiles, anti tank... N.k

Sio poa... Hao sio levels zetu, level za nchi kubwa za Nato.

Wakisema wanatutwanga ni mwezi tu.
 
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.

Alikuwa akizungumza mara baada ya Makubaliano ya Nchi Wanachama wa Bonde la Mto Nile kutoa saini ushirikiano Mpya wa usimamizi na matumizi ya maji ya Mto Nile Maarufu kama Entebe Agreement ambao uliasisiwa na Ethiopia na kutiwa saini na Nchi 6 ikiwemo Tanzania.

Egypt pamoja na Nchi zingine za downstream wameupinga mkataba huo wakidai una makosa hivyo Nchi zirusi mezani kwenye majadiliano.

My Take: Makubaliano ya kikoloni yaliyowapa Haki Egypt na Sudan hayana nafasi tena ,watake au wasitake maji tutatumia na hawana Cha kutufanya ila sio Kwa malengo ya kuwaumiza.

Kenya amekataa kusaini makubaliano Kwa Ajili ni kibaraka wa Wazungu

Pia soma Egypt imepinga vikali makubaliano ya usimamizi wa Mto Nile

Soma zaidi hapa Tume ya Ushirikiano wa Bonde la Mto Nile kuzinduliwa. Egypt inapinga ikidai haki zake za kikoloni zimekiukwa

==============


This agreement outlines the principles, rights, and obligations related to the management and development of the Nile Basin.

The Turkish media reported on Monday, October 14, that the Nile Basin Cooperative Framework Agreement (CFA) officially came into force on Sunday, October 13.

Egypt and Sudan have so far rejected the agreement while the CFA has been signed by upstream countries, including Ethiopia, Rwanda, South Sudan, Uganda, Tanzania, and the Democratic Republic of Congo.

Egyptian Irrigation Minister Hani Sewilam called on Nile Basin countries to reevaluate water agreements during a water event in Cairo on Monday, October 14.

“We call on the Nile Basin countries that signed the Entebbe Agreement to review their position and return once again to discuss cooperation between countries in a way that does not harm any of the riparian countries,” Irrigation Minister Hani Sewilam said at a water event in Cairo.

“Egypt’s position is fair and consistent with international river agreements enforced internationally,” he added.
The Egyptian minister stressed that the discussions “must include all countries and don’t exclude the interests of one country over another.”

Sewilam said Egypt’s water supply does not suffice the country’s needs. “Egypt will not concede even a single cubic metre of Nile water and firmly rejects the Entebbe Agreement in its current form,” he stressed.

Egyptian President Abdel Fattah Al-Sisi said early yesterday that preserving Egypt’s water resources is an “existential issue”.

“The Nile River is the primary source of water for Egypt, accounting for over 98%” of its water supply, he added.
The CFA represents the first multilateral effort by the Nile Basin states to create a legal and institutional framework to govern the use and management of the river.

The Nile River has been a source of tension, especially between Egypt and Ethiopia, as the latter began construction of the Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) on the Blue Nile, a major tributary of the Nile River.
Ethiopia views the dam as essential for its economic development and insists it poses no threat to downstream water supplies.

Egypt views the GERD as an existential threat to its water share from the Nile and demands a binding agreement on the dam’s filling and operation.
Haitakubali nchi wenzake nao watumie kama wanavyoyatumia wao!
Hapa inamaanisha walikalilishwa kwamba Maji ni ya Kwa? Yaani wenyewe ndio wenye mamlaka ya kuyadhibiti?
Kimsingi wao so wameshikikia majani na mizizi iko kwingine? Au mimi ndio nakosea labda MTO NILE unatiririka kutoka EGYPTY?
Au yenyewe ndio kiranja Mkuu wa mipango na matumizi?
 
Kenya ina jeshi gani la anga la maana hata la kitisha Tz?
Ungekuwa unaongelea vita ya ardhini ningekuelewa lakini kwa upande wa jeshi la anga hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara yenye jeshi la maana la anga Misri ina jeshi kubwa la anga kuzizidi hata Uturuki na Israel.
6day war mmisri alikua na jeshi la anga kubwa na zuri kuliko hata anaepambana nae ila alichofanyiwa hadi leo anaogopa kuingilia gaza
 
Back
Top Bottom