Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Mzungu alimshindwa siyo,zama za kuporomosha mawe milimani hizi!?
Ila akatawala waarabu hadi hao wamisri na wengine kwenye hilo bara la waarabu katika zama hizohizo za kuporomosha mawe.
.hata utawala wa Ottoman uliporomoshwa zama hizohizo za kuporomosha mawe...... ila akamshindwa Ethiopia
 
Sasa baada ya hao wababe kuingia hana tena hiyo jeuri.

Yeye akomae na Djibouti,Lamu,Asmara na Somalia ila Kwa utaratibu unaokubalika Duniani sio eti kutambua Somaliland kama Nchi huru.
Nyakati hizi maneno machache vitendo vinasema zaidi,,,,wakija kistaarabu wataeleweka ila wakiingia kibabe basi kwa sasa kila mtu mbabe
 
Ila akatawala waarabu hadi hao wamisri na wengine kwenye hilo bara la waarabu katika zama hizohizo za kuporomosha mawe.
.hata utawala wa Ottoman uliporomoshwa zama hizohizo za kuporomosha mawe...... ila akamshindwa Ethiopia
Ndiyo nakuuliza mzungu akienda kupiga a vita Ethiopia Leo atahitaji kupanda milima na WA Ethiopia wawaporomoshee mawe toka milimani na mzungu atashindwa!?
 
Umoja wetu huwa ni wa kutia mashaka, umoja wa kinafiki.
Congo hio hapo imetushinda kila mmoja na yake, hatuna kauli moja.
Egypt akitushambulia atatuunganisha hata kwa nguvu Ethiopia tu amvayo bado iko kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe Egypt haiwezi hata kidogo.

Na Nchi za EAC tutaisaidia Ethiopia SADC wataisaidia Ethiopia.

Na Egypt haijawahi kuishinda KUSH ila KUSH imeitawala Egypt kwa miongo mingi.
 
Madogo wengi muvi za wazungu zinawapotosha.....wakitaka walianzishe tu na huku wataona watu walikua wanashindaje vita tokea enzi
 
Kaburu enzi zile alikua kaendelea kijeshi kama nchi za Ulaya ila alitulizwa na Nyerere Taifa changa kabisa,,,,......na akili hamna wenyewe na wazee wenu sio kila mtu yupo kwenye hilo kundi lenu
Sio Nyerere pekee, nchi za Africa zilikuwa na umoja kupinga ukoloni.

Zilikuwa ni nyakati za muamsho na vuguvugu la kupinga ukoloni.

Radio ziliandaa vipindi kuhusu ukoloni, shuleni wanafunzi waliimba nyimbo kupinga makaburu, wanafunzi walifundishwa kuchukia makaburu.

Hata watunzi wa vitabu vya miaka hio waliandika tunzi kuhusu kupambana na makaburu.

Watu walikuwa wazalendo.

Hayo mambo leo hayapo, ndio maana nasema nchi zetu hizi huku EA , muarabu atatutandika vibaya sana na hadi tutaomba msamaha.

Mi naongea ukweli.
 
Back
Top Bottom