Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Mkuu wanatutwanga wale jamaa.
Egypt ni taifa kubwa kijeshi, kiuchumi hata kiteknolojia.
Hadi wamerusha satellite si mara moja, walishaingia kwenye migogoro ya kidunia huko mashariki ya kati utalinganisha na sisi.
Wasitutishe, wewe maji yako kwako ndio chanzo cha maji harafu yeye apige mkwara!
Tutayavuruga maji hayohayo ili hasara yao iwe kubwa kuliko sisi.
 
Waache ushamba, hadi leo zama za technolojia mnategemea vimaji vya mto tena unaotoka maelfu ya Kilometer.
Wanatakiwa wawe wabunifu kutafuta vyanzo vya ziada. Mbona mafarao walikuwa na akili nyingi sana
Mafarao walikuwa wanatumia maji ya mto Nile
 
Wasitutishe, wewe maji yako kwako ndio chanzo cha maji harafu yeye apige mkwara!
Tutayavuruga maji hayohayo ili hasara yao iwe kubwa kuliko sisi.
Mtapigwa muanze kuomba msaada...
Egypt ni super power kikanda kwa huku Africa...

Lazima tumsikilize mkubwa, we si unaona wenzako Ukraine wanapata dhahama..
 
Back
Top Bottom