Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Empire ya tanganyika ilikuwa inaitwaje kabla ya ukoloni?Ilikuwepo Kwa Kufuata empires wao waliihamishia kwenye makaratasi tuu
Sasa ww huoni ya kuwa umbali kati ya misri na Israel na ndo uliwapa faida Israel kupiga ambush ya kushutukiza?6day war mmisri alikua na jeshi la anga kubwa na zuri kuliko hata anaepambana nae ila alichofanyiwa hadi leo anaogopa kuingilia gaza
Hivi unaujua mkataba mpya wa Nchi za Nile Basin?Nimegundua humu ndani wengi 2000+ misri walishatuchumba mkwala kipindi lowasa akiwa wizara ya maji maji yalitolewa mwanza to shinyanga NK mkwala ulikua mkubwa Sana tuliogopa Ila lowasa hakuyumbishwa na maneno ya misri
Labda wanamini maneno ya wanasiasa wanao sema eti Tz ni ya sita kijeshi duniani.Egypt ni miongoni mwa nchi 15 duniani zenye air force bora kabisa, kwa middle east anazidi nchi zote kwa air force ikiwemo Israel.
Egypt mwaka huu 2024 ni nchi ya 15 kwa nguvu za kijeshi duniani.
Egypt wana helicopter carriers , wana F16s za kutosha , Mig 29s, Rafale, alpha jets n.k na air bases zipatazo 20...
Waache wajidanganye eti mtu anakuambia Ethiopia...
Wana viwanda kuzalisha missiles, anti tank... N.k
Sio poa... Hao sio levels zetu, level za nchi kubwa za Nato.
Wakisema wanatutwanga ni mwezi tu.
Hao wote wamerundikana sehemu 1.....hata bwege akifanya shambulizi la kushtukiza analamba vichwa vingi sana......hawajabadili pattern ya nchi yao tokea enzi za mafarao...Sasa ww huoni ya kuwa umbali kati ya misri na Israel na ndo uliwapa faida Israel kupiga ambush ya kushutukiza?
Vip kama Misri ingekuwa maelfu ya km Israel ingeweza kufanya hiyo ambush?
Ww nchi yako ina uwezo hata wa kufanya mission yeyote ya anga hapo S.Sudan tu achana na Misri?
Sio intel pekee hata vifaa na silaha jaribu kufuatilia.US haikutuma Askari kwenda kuisaidia Israel bali ilikuwa ikisaidia kwa Intelligence.
Hata Walibya waliokuja kumsaidia Iddi Amini tuliwateka kama Kuku ondoeni Hofu hawa mbona ni Wachumba tu.
Watu wanakula majani ila vita umeshinda ,,,we nenda ukale kuku huku ukiwa umeshatandikwaSio intel pekee hata vifaa na silaha jaribu kufuatilia.
Kagera war yenyewe mlipigana watu wakaanza kula hadi majani, njaa kali kishenzi, watu wanapata utapiamlo mkaanza kula mahindi kama panya.
Na mshukuru Angola, Botswana, Ethiopia, Madagascar, Mozambique, na Zambia walitupiga tafu, lakini hali haikuwa hali kwa sababu tpdf walikuwa ni migambo tu..
Tatizo hii nchi huwa ni kujisifu sana, hata Nyerere mwenyewe utadhani hio vita alipigana yeye peke yake pasipo msaada, na watu hawasomi vitu kwa undani.
Ugandan rebels chini ya Obote walipigana kusaidiana na Jwtz na walitoa intel zilizoksaidia sana.
Kuna waasinwengine waliitwa Save Uganda Movement (SUM) walisaidia sana hao jamaa tena sana, humo kulikuwa kuna kuna askari wa jeshi la anga la Uganda ambao walisadia pakubwa kuharibu operations za Ugandan Air Force.
Kingine conflicts za ndani kwa ndani baina ya officers wa Uganda,
Kwa sababu nchi yetu huwa ni wazee wa kujipakulia minyama utasikia tukiwatandika vibaya sana...😂😂
Hio vita sio ya kutolea mfano... Kwa wafuatiliaji waliofuatilia kwa undani usije kutoa mfano utachekwa...
Kwanza hao watu nani kawapa visa ya kuingia Tanzania [emoji1241], chochote kile kilicho kwenye Aridhi ya Tanzania ni cha watanzania, mikataba ya kikoloni yote ilikufa baada ya Tanzania kupata uhuru wake 1961!!Nyamafu zao, Wanampiga Mkwara nani? Hao wanajipiga Mkwara wenyewe.
Au tukaanze kuwashughulikia waleu watu wao makasusi waishio Mwanza, Bukoba na Musoma ambao kazi yao bi kufuatilia mwenendo za shughuli zite zinaxifanyika katika mikoa inayozunguka Ziwa victoria, pia kufuatilia kina cha maji na kupeleka taarifa nchi mwao?
Utakuwa una WIVU tu na Ushindi wetu katika Vita vya Kagera lakini hatukujiandaa kwenda kwenye Offence ile Vita ilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Askari wa Amini kwenye Ardhi ya Tanzania.Sio intel pekee hata vifaa na silaha jaribu kufuatilia.
Kagera war yenyewe mlipigana watu wakaanza kula hadi majani, njaa kali kishenzi, watu wanapata utapiamlo mkaanza kula mahindi kama panya.
Tena muisrael wa Afrika "Ethiopia" akiwepo....inaweza kua vita ya kihistoria kama ile ngoma ya 6 day warUtakuwa una WIVU tu na Ushindi wetu katika Vita vya Kagera lakini hatukujiandaa kwenda kwenye Offence ile Vita ilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Askari wa Amini kwenye Ardhi ya Tanzania.
Katika harakati za kuwatoa tukawaona kuwa ni wepesi tukaenda kwenye Offensive na tukaingia Uganda na kuwachakaza.
Tanzania kama Nchi hatukujipanga na Offensive ile ndio maana tuliyumba Kiuchumi.
Lakini hii ya huyu Mwarabu anayeleta UKABURU WA MAJI tutadili naye kama yule KABURU WA JO BURG.
Pasipo msaada wa hao waasi wa Obote na SUM ambao kulikuwa na askari waliotoka Air Force ya Uganda UAAF, na wakasaidia kufanya sabotage ya OPs za air force kazi ingekuwa ngumu sana.Watu wanakula majani ila vita umeshinda ,,,we nenda ukale kuku huku ukiwa umeshatandikwa
Ninachokiona sasa ni wakati mzuri kwa Nchi zetu kuongeza Bajeti za ULINZI na tuanze kutengeneza Drones nk.Tena muisrael wa Afrika "Ethiopia" akiwepo....inaweza kua vita ya kihistoria kama ile ngoma ya 6 day war
Egypt sio level zetu, tuendelee na wizi wa kura, utekaji na siasa za kusifu na kuabudu, uchawa na nani kama mama...Utakuwa una WIVU tu na Ushindi wetu katika Vita vya Kagera lakini hatukujiandaa kwenda kwenye Offence ile Vita ilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Askari wa Amini kwenye Ardhi ya Tanzania.
Katika harakati za kuwatoa tukawaona kuwa ni wepesi tukaenda kwenye Offensive na tukaingia Uganda na kuwachakaza.
Tanzania kama Nchi hatukujipanga na Offensive ile ndio maana tuliyumba Kiuchumi.
Lakini hii ya huyu Mwarabu anayeleta UKABURU WA MAJI tutadili naye kama yule KABURU WA JO BURG.
UingerezaAlipewa na nani!?