Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Chanzo cha maji kianzie kwangu, unipangie namna ya kutumia hayo maji!! Imekaaje, ni kuniomba nikuachie kidogo sio kunilazimisha.
 
Mchina hawezi kupa msaada wa bure, Russia pia.
Russia na China wenyewe watakuwa radhi kusaidiana na Egypt kuliko sisi.
Hao wote ni wasomi kutuzidi na pia Egypt anachimba mafuta.

Russia itaiheshimu Egypt kuliko sisi, kwanza China na Russia waisikilize Tanzania kuliko Egypt kwa kipi tulichonacho kuizidi Egypt?

Bado sana sisi... Ukweli mchungu..
 
Chanzo cha maji kianzie kwangu, unipangie namna ya kutumia hayo maji!! Imekaaje, ni kuniomba nikuachie kidogo sio kunilazimisha.
Mbona Ukraine kavamiwa na nchi yenye uhuru wake na uchaguzi wa kujiunga NATO ama la...

Lakini wamevamiwa na mkubwa Russia na sasa wana adhibiwa vikali kwa kutosikiliza ya mkuu...

Na sisi tukileta kiburi kipigo kinatuhusu ni bora tukubali hata kama tupo kwenye haki.
 
Fuatilia Yom kippur War (October War) Misri alibattle jino kwa jino against Israeli na shoga yake matokeo yake Misri akarejeshewa Sinai
Israel ilishtukizwa lakini ikatoa Dozi kwa Egypt na Mashoga zake wa Kiarabu ndio Anwar Saddat kwenda ghafla Tel Aviv kwenda kuomba Amani ndio kurejeshewa Sinai.
 
Kakojoe ulale.....anza tu hapo nani wajamaa kati ya Ethiopia, Tanzania dhidi ya Misri....Misri anajulikana mapema ni kibaraka wa mabepari hata huyo rais wao ni kibaraka wao na ndo maana hata nchini kwake ana force kutawala.....huyo mchina na mrusi wanaweza kusapoti zaidi huyo rais wa Misri kutolewa kuliko kubaki hapo.......na kijeshi mchina ni mshirika mkubwa wa Ethiopia na Tanzania kuliko mmisri......hao wenyewe unaosema wanajua nao hivyo vitu hawajatengeneza wao ,wamenunua na wamefundishwa,,,,,kusoma itakua ngumu labda kwa uzao wako ambao mmeshaanza kujiona vilaza mapema mbele ya ngozi nyeupe
 
Kwahio Misri ni sawa na hao?? Hata maji tu teknolojia inawashinda?? Endeleeni wenyewe na woga wenu wa waarabu.....hao hata ukiwapa bomu la nuclear, kivita ni 0 wanachoweza ni ugaidi tu baas
 
Kwani Russia na China walifanya nini kumsaidia Libya dhidi ya kipigo cha NATO.

Hii dunia inakwenda kimaslahi, we ulishamuona Putin Tanzania?😂
Au mlimkaribisha Obama mwaka ule mkafagia barabara na kufukuza machinga...

Putin alifika Egypt 2017 na wakasaini mkataba na Egypt kwamba atawasaidia kujenga kinu cha nuclear kiliitwa El Dabaa ambapo watatumia kuzalisha umeme.

Sasa wana kinu cha nuclear ambacho ni power plant wanazalisha umeme...

Nyie mmefikia level hizo?

Na unaambiwa hiko kinu kwa Africa ndicho cha kisasa zaidi wanasema Generation III plus.

Ndio maana nakuambia nyie endleeni kula ugali na mlenda pembeni pilipili ya mwendo kasi.
 
Hawakuwa na Maslahi na Libya.
 
Mtapigwa muanze kuomba msaada...
Egypt ni super power kikanda kwa huku Africa...

Lazima tumsikilize mkubwa, we si unaona wenzako Ukraine wanapata dhahama..
Nangoja wale wavunja tofali kwa vichwa wakalete ngebe wachapwe ili ku restore settings😁
 
Mtapigwa muanze kuomba msaada...
Egypt ni super power kikanda kwa huku Africa...

Lazima tumsikilize mkubwa, we si unaona wenzako Ukraine wanapata dhahama..
Watu wana image za kizazi cha babu zetu ambao ndio walikuwa real soldiers na kutaka kujifananisha na hawa waliokuzwa na lactogen na celelac 😁!

Tutaaibishwa kama jinsi ambavyo role model wetu alidhani jeshi ni lile lile la stallin kumbe vijana waliopo ni mtori mtori wajukuu waliokuzwa na weetabix ambao babu zao ndo walifanya kazi na stallin! Matokeo yake walichinjwa bila huruma maana ni weupe sana hadi akaomba jeshi la waasi liingie mzigoni.
 
Ukiona unamuomba jirani yako kuingia kwako, juwa huna kwako.
 
Umeongea point, hilo battle hatuwezi, kwanza uzalendo umekwisha, vijana wengi hawaamini viongozi wao, wanaichukia nchi yao.

Zamani hadi shuleni watu waliimba nyimbo za kizalendo na vijana wa zamani walikuwa viburi kweli na huwaelezi kitu kuhusu nchi yao, hivi sasa hawa watoto wa tiktok, tutapigwa tujambe. Hehehehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…