Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Egypt sio level zetu, tuendelee na wizi wa kura, utekaji na siasa za kusifu na kuabudu, uchawa na nani kama mama...

Mambo ya ku compete na taifa kama Egypt hatuwezi.
Haya matatizo yetu ya ndani yanafanana sana na ya Wamisri lakini linapokuja swala muhuimu la Maji tusibweteke tuseme NO!

Vyama vitakuja na kuondoka Wanasiasa watakuja na kuondoka lakini Maji ni kwa ajili ya Vijukuu na Vilembwe vijavyo.
 
Ndo maana nakwambia kila mtu ana wana wa kuwapa msaada......hapo misri kwenyewe huyo rais wanataka kukinukisha kwahio akilianzisha asifikirie sana kuna mwanajeshi ataenda huko kwake anapigwa sabotage hata kutumia wananchi wake tu..........huyo kashikilia makali ya upanga wakati waliokaa sehemu ambapo huo mto unaanzia wameshikilia kwenye "handle"
 
Alichokua nacho kuna wana wana zaidi ya hivyo alivyokua navyo......huyo hata huitaji silaha kali sana ....pitisha tu drone za chini ya maji ziende kumwaga sumu kwenye huo mto upande wake kazi kwisha
 
Kikubwa aliyepata kua waziri wa maji mjeshimiwa Lowassa alishamaliza kazi upande wetu, kwani alifanya maamuzi magumu na kuanza usambazaji wa maji ya ziwa Victoria kwenda kwa wananchi na Kaset mipango ya umwagiliaji kwa kutumia ziwa Victoria , huo ujinga wa misri aliukataa
 
Alichokua nacho kuna wana wana zaidi ya hivyo alivyokua navyo......huyo hata huitaji silaha kali sana ....pitisha tu drone za chini ya maji ziende kumwaga sumu kwenye huo mto upande wake kazi kwisha
Huo ni uhalifu wa kivita, na jumuiya za umoja wa kimataifa watagundua.

Hio si hatua ya kuchukua na kumbuka kwa kufanya hovyo pia madhara yatakuja hadi tulipo pia, ni sawa na kusema uweke sumu upande wa mbuga za wanyama Kenya tunazoshare nazo mipaka na mbuga zetu kwa kujua tunawakomoa hali ya kuwa wanyama wanahama huku na huku...

Utaua viumbe vingi majini, na kuua watumiaji wengine wa huo mto kabla ya Egypt...

Sio wazo zuri.
 
Reactions: Cyb

Makomandoo wa Kiarabu kutoka Jamahiriya Libya tuliowateka kama Kuku katika uwanja wa mapambano.

Hao Wamisri nao waje tu.
 
Hata hilo watakalo fanya ni uhalifu pia......vita ni vita mraaaaa....huoni huko Netanyahu anatandika kwa njia yeyotu tu ile.....hizo kesi tutakuja kusikilizana baada ya kichapo kuisha ..........unapigwa sabotage anza kwanza kupata ushahidi kwamba mie ndo nimefanya hivyo.....kipindi hiko unafanya uchunguzi sijui unakula nyasi au kuku utajua mwenyewe kikubwa mission accomplished........uhalifu wa kivita watu washaanza kutumia biological weapons.......hii ni phase nyingine, kwa sasa mtu akija kichwa kichwa lazima apasuke tu kwa namna yeyote
 
Na haswa Air Defences liwe swala la Jumuiya ya EAC na SADC kuweka MWAMVULI wa Anga ya Jumuiya.
EAC hapo mkenya lazima atazingua....hapa bora kukomaa na mganda na Rwanda,,,,Kenya haeleweki
 
Mkiingia vita ya silaha za kibalojia na nyie mtapigwa nazo tu.
Kama mpo tayari sawa, lakini si wazo zuri ni mara kumi muache watumie mto huku mkijipanga kiuchumi, kielimu na kijeshi ili kusudi baadae mrudi kuchukua kilicho chenu.

Kwa huu unyonge hata vita ya silaha za kibaiolojia tutashindwa, sisi bado sana...

Hapo ndipo kufunguliwa mashtaka na mashirika ya haki za kibinadamu na pia kuwekewa vikwazo na umoja wa mataifa.

Kwa umasikini wa nchi zetu achana na hayo mawazo. Tutakufa kama wanyama pori.
 
Madhara yanakujaje kwetu?? Hio sio bahari huo ni mto na mto haupigi reverse ....maji yanaanzia ziwa Victoria na huko Ethiopia.....misri ni bondeni maji hayawezi kupandisha bonde.....hapo hata ukienda kuutibua huo mto kwa waarabu wenzao wasudan sumu itaendelea mpaka huko alexandria haiwezi kurudi sehem qmbapo mto umeanzia......ingekua hio ni bahari hapo pangekua na shida .

...haka kadude hata vi 2 tu vinatosha kuleta maafa.....sijui hata kama kuna radar ya kushtukia hilo
 
Silaha za kibaiologia zimeshaanza kutumika tokea huko Ukraine.....au hujui mambo ya hunter bidden.............sasa aje apige nchi 6 ambazo wananchi wake wamepatakaa nchi nzima,,,,huku yeye akipigwa shambulizi 1 tu kazi kwisha maana wananchi wake wote wapo eneo 1......huohuo mto unawaangamiza
 
Haha sema wewe mnyonge usitake kusambaza sumu yako ya unyonge kwa wengine,,,,,,wewe kaa chini anza kujisemea kua wewe na uzao wako ni wanyonge halafu kaa utulie
 
Kwani Riz na yule bibi wa Zanzibar wanasemaje
 
Hiko kidude kukiendesha kina mifumo yake ya kuiongoza either gps, Galileo n.k hivyo kitaacha footprint na wazee wa kazi wakianza uchunguzi wao mtakamatwa tu...

Hizo elimu kwetu bado, ndio kama unaona wanapeleka roboti Eunice bungeni, roboti kama mdoli.

Hivyo vifaa ndani kuna electronics devices au semiconductors ambazo hao mabeberu wanaweza kufahamu hiko kidude kipo mahala gani...

Kingine sumu ya kutosha kuenea mto si kitu kidogo plus mito na maziwa ina mifumo yale ya kujisafisha dhidi ya taka kama hizo...

Hapo si vidude viwili kama usemavyo...
 
Fuatilia Yom kippur War (October War) Misri alibattle jino kwa jino against Israeli na shoga yake matokeo yake Misri akarejeshewa Sinai Peninsula , Moshe Dayan Goda Meir na viongozi wengine wakubwa Israel walijiuzulu baada ya vita hiyo na wiki ya kwanza tu ya vita walishavuka Suez Canal ,Wakabomoa ngome ya Israel wakaua na kuteka askari wengi sana
 
Elimu bado wakati kuna msaada wa mrusi na mchina........halafu unapigana na misri una mhype kama vile ni taifa lenye historia ya maana kivita,, hata kwa sasa tu anaufyata mkia zaidi tu ataendeleza taarabu labda na kuwapa wasomali silaha baas,,, hawezi kupiga direct maana anajua atakachoweza kufanyiwa.......Arab spring tu iliwatoa kamasi ,,,kwa sasa wataletewa Arab winter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…