imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Haya matatizo yetu ya ndani yanafanana sana na ya Wamisri lakini linapokuja swala muhuimu la Maji tusibweteke tuseme NO!Egypt sio level zetu, tuendelee na wizi wa kura, utekaji na siasa za kusifu na kuabudu, uchawa na nani kama mama...
Mambo ya ku compete na taifa kama Egypt hatuwezi.
Vyama vitakuja na kuondoka Wanasiasa watakuja na kuondoka lakini Maji ni kwa ajili ya Vijukuu na Vilembwe vijavyo.