Ulichelewa wapi? Ungekuwa my twin, mie ni 12January.13 january
Basi ungekuwa mama watt wangu mambo yangeenda vzr sn....mwanangu yake 14 januaryUlichelewa wapi? Ungekuwa my twin, mie ni 12January.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Basi ungekuwa mama watt wangu mambo yangeenda vzr sn....mwanangu yake 14 january
Mama ungekuwa 12,baba 13 halaf mtt 14
Ww ulidhani mm wa miaka ya tisini kama ww...mwanangu anatimiza miaka 7[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe dogo una mtoto, hongera sana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ww ulidhani mm wa miaka ya tisini kama ww...mwanangu anatimiza miaka 7
Mwaka 2010 wakat mm napata mtt ww bado upo secondary...![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We dhindwa, mie sio wa tisini.
Kumbe matusi ulianza mapema[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Thubutuuu!!Mwaka 2010 wakat mm napata mtt ww bado upo secondary...!
Hahahahah
Halaf mpk leo bado unasubiri tu kujaza duniaThubutuuu!!
Ndio nilikuwa namalizia chuo.
Nishajaza ikajaa.Halaf mpk leo bado unasubiri tu kujaza dunia
Uongo!Nishajaza ikajaa.
Katika pita pita zangu nliambiwa ww bado mwaliMweeeeh!!
Kwani humjui dota wangu Heaven Sent? Na ana mdogo wake wa kiume.
Ulidanganywa.Katika pita pita zangu nliambiwa ww bado mwali
Chanzo cha habari hiyo ni cha kuaminika snUlidanganywa.
Uliamini sehemu isiyo sahihi.Chanzo cha habari hiyo ni cha kuaminika sn
File lako ninalo ujue...nakuangalia tuUliamini sehemu isiyo sahihi.
Kama unao usingesema mimi ni wa 90 maana nimekupita good 5 years.File lako ninalo ujue...nakuangalia tu
Huwezi kumaliza chuo 2010 halaf uwe umenipita miaka 5 mwaka huo mm hata degree ya pili nmeshafanyaKama unao usingesema mimi ni wa 90 maana nimekupita good 5 years.
Angalia sasa ulichoongea!!Huwezi kumaliza chuo 2010 halaf uwe umenipita miaka 5 mwaka huo mm hata degree ya pili nmeshafanya
[emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 50 unaenda kusoma chuo ufanye nn sasa?!....bora ufuge kuku tuAngalia sasa ulichoongea!!
Kuna mama ana 50yrs amemaliza chuo mwaka huu, kwahiyo kumaliza 2010 hakunifanyi niwe mdogo.