Miss Capricon

Miss Capricon

Ulichelewa wapi? Ungekuwa my twin, mie ni 12January.
Basi ungekuwa mama watt wangu mambo yangeenda vzr sn....mwanangu yake 14 january

Mama ungekuwa 12,baba 13 halaf mtt 14
 
Basi ungekuwa mama watt wangu mambo yangeenda vzr sn....mwanangu yake 14 january

Mama ungekuwa 12,baba 13 halaf mtt 14
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe dogo una mtoto, hongera sana.
 
Ww ulidhani mm wa miaka ya tisini kama ww...mwanangu anatimiza miaka 7
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We dhindwa, mie sio wa tisini.
Kumbe matusi ulianza mapema[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We dhindwa, mie sio wa tisini.
Kumbe matusi ulianza mapema[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mwaka 2010 wakat mm napata mtt ww bado upo secondary...!

Hahahahah
 
Kama unao usingesema mimi ni wa 90 maana nimekupita good 5 years.
Huwezi kumaliza chuo 2010 halaf uwe umenipita miaka 5 mwaka huo mm hata degree ya pili nmeshafanya

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi kumaliza chuo 2010 halaf uwe umenipita miaka 5 mwaka huo mm hata degree ya pili nmeshafanya

[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia sasa ulichoongea!!
Kuna mama ana 50yrs amemaliza chuo mwaka huu, kwahiyo kumaliza 2010 hakunifanyi niwe mdogo.
 
Back
Top Bottom