Miss chaga

Nakupenda mkuu. Ila na wewe bhana, kwani huwez kuanza kunipenda?
Hapana nataka wewe ndio uanze. si unajua tunamuogopa Stunter na yale maneno yake hachelewi kutuanzishia Thread
 
Si ataona sasa, halafu kibaya nimeanza mm kukupenda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Akiona wewe unakana tu unakataa katakata. unadhani atakufanyaje? unamwambia hukuandika wewe imejiandika tu.
 
Hata mie nataka tukasagane na Umukagame,,common babe ,,lovu u
 
ni mdada jaman usijali. nampenda upendo wa agape na anajua sio kama ule wa kwako
1[emoji115]
Ndo tayari nshakupenda mama![emoji39]
2[emoji115]
Nakupenda mkuu. Ila na wewe bhana, kwani huwez kuanza kunipenda?
3[emoji115]
jje's unanixhanganya mimi! Hapa sijakuona... [emoji28][emoji28][emoji848][emoji39]
Nipo makini sana.
Jerrymalisa kuwa makini sana, kama kweli unajipenda na unapenda maisha yako, huyu ni mke wa mtu na jukumu la ulinzi nimekabidhiwa mimi.
-kuwa makini sana natoa onyo tu kwa muda huu, nikirudi baadae narudi kivingine.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tungekua makini kuhesabu na kulinda kura zetu leo kila mmoja humu angekua na at least rav4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…