The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 809
Usifanye hivyo bhana
jje's unanixhanganya mimi! Hapa sijakuona... [emoji28][emoji28][emoji848][emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye hivyo bhana
Nakupenda mkuu. Ila na wewe bhana, kwani huwez kuanza kunipenda?Nipende basi na mimi ili nami nikupende
natania tuOle wako uende maana nakuona
hakuna shidaHaki ya mam..!! Uje nikupeleke rombo,,, upate hata mbege kidogo
Hapana nataka wewe ndio uanze. si unajua tunamuogopa Stunter na yale maneno yake hachelewi kutuanzishia ThreadNakupenda mkuu. Ila na wewe bhana, kwani huwez kuanza kunipenda?
Hapo sawa.natania tu
Kwa hiyo unanisemea sio?Hapana nataka wewe ndio uanze. si unajua tunamuogopa Stunter na yale maneno yake hachelewi kutuanzishia Thread
Nimesema tu ila sijakusemea.Kwa hiyo unanisemea sio?
Si ataona sasa, halafu kibaya nimeanza mm kukupenda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimesema tu ila sijakusemea.
Si ataona sasa, halafu kibaya nimeanza mm kukupenda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
1[emoji115]ni mdada jaman usijali. nampenda upendo wa agape na anajua sio kama ule wa kwako
2[emoji115]Ndo tayari nshakupenda mama![emoji39]
3[emoji115]Nakupenda mkuu. Ila na wewe bhana, kwani huwez kuanza kunipenda?
Nipo makini sana.jje's unanixhanganya mimi! Hapa sijakuona... [emoji28][emoji28][emoji848][emoji39]
1[emoji115]
2[emoji115]
3[emoji115]
Nipo makini sana.
Jerrymalisa kuwa makini sana, kama kweli unajipenda na unapenda maisha yako, huyu ni mke wa mtu na jukumu la ulinzi nimekabidhiwa mimi.
-kuwa makini sana natoa onyo tu kwa muda huu, nikirudi baadae narudi kivingine.
Usicheke nipo serious, nipo kazini nalipwa na mkuu STUNTER[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tungekua makini kuhesabu na kulinda kura zetu leo kila mmoja humu angekua na at least rav4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua??
My sisy!ni mdada jaman usijali. nampenda upendo wa agape na anajua sio kama ule wa kwako
How much is he paying you? I will double just for herUsicheke nipo serious, nipo kazini nalipwa na mkuu STUNTER
Wivu wangu mpaka kwa dada zakoni mdada jaman usijali. nampenda upendo wa agape na anajua sio kama ule wa kwako
Shauri zako....kwani umeelewa hapo? makubwaaaz