Miss chagga bring back my hazbendi

Last edited by a moderator:

Jamani mom pole...siku zote nakuuliza dady yuko wapi hunambii ukweli kumbe katekwa na mwanamke.. miss chaga emu mwambie baba arudi nyumbani mambo gani hayo unafanya....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
natania tu si kweli... kayataka lakini mwenyewe

Jamani utani mbaya huo mama'ngu bado anahitaji mapenzi kutuzaa sisi so kwamba ndo mumuone mzee hadi kumwibia Mme bado anadai hututendei haki..
 
First Born baba mkwe atakufa nikimwacha Ntuzu njoo useme kama hutazikwa mapema.... Khantwe mkewe ni shida mwanamke anamaneno ya kubomoa tu hajui kubembeleza

Wee baba'ngu Ntuzu popote ulipofichwa njoo...unaniabisha binti yako umefanya nini baba ni mengi ulikuwa ukinambia umekwazika nini hadi ukimbie nyumbani kuna nini ambacho umeshindwa kunambia jamani..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…