Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,962
Mkuu hahahahaha!!! Huu ukimbaumbau ndio mpenzi wangu Kasinde kauzimikia ujue!!!!! Hahahahahaaa!!!
Hasara ni moja tu... hata uwe na shekeni bado unaonekana huna, mbahili na asiyeridhika.. Wakati kwa wenzetu ukiwa hivyo wanakuletea business proposal tu....

Last edited by a moderator: